Utateseka sana unadhani maisha yana formula. Tafuta Furaha achana na propaganda.
Single mothers wanajielewa sana na wanajua Kupenda bwa mdogo
 
Raha ya soda ukute haijaonjwa"
Maweee!!! chupa ya soda ilisha tumika na kutumika weee!! zaidi ya mara mia! midomo mingi imepitia pale!! weye unaiona mpya una akili kweli weye??? ...hata ukiiifungua haikuonyeshi ni mpya!! zaidi tu utasikia ka gas pfyuuuu!!!

wasawahili mbona manaridhika padooog sana!!! ......siku hizi bikra zinatengenezwa na shab tu! km hujui shauri yako.....au ulizia wakubwa zako!! kwani mdada akitoka njombe akaacha huko watoto sita!! akaja Dsm!! kuolewa

Sasa weye na ushamba wako utajuaje kuwa ana watoto sita??kwani wamejipanga kwenye papuchi??...utawasomesha hao, utawalisha hao kwa kisingizio ni watoto wa dada yake!....utakuja jua na wewe tayari una watoto sita!!

yule mkubwa wao uliyemsomesha kwa hela zako kesha anza kazi, na mke ulimfungulia biashara hela anazo, sasa kazi kwako uache au ukae!! ukiacha wewe sheria ya ndoa unaijua ni pasu kwa pasu! na umri umeenda!! hayaaa....amua weye uone patamu hapo!
 
Inakuaje pale utakapo oa alafu mama mtoto akaweka msimamo kuwa watoto sio wako, kwaa maana ya kukataa kuwapa ubini wako na akasisitiza kuwa wataendelea kuwasiliana na baba yao?
 
mimi??!!! niwe soda iliyoonjwa???!!
ningekuonja wewe....
Tena wewe lazima tukumimbe uwe singo maza,tusepe tukuache upambane zako ulee mtoto huko.
He he heeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Utateseka sana unadhani maisha yana formula. Tafuta Furaha achana na propaganda.
Single mothers wanajielewa sana na wanajua Kupenda bwa mdogo
Sasa asipojiongeza yeye kupanda,nani atampenda.yaaani singo maza lazima uwe mnyenyekevu,uwe na kihere here cha kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…