Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Utateseka sana unadhani maisha yana formula. Tafuta Furaha achana na propaganda.
Single mothers wanajielewa sana na wanajua Kupenda bwa mdogo
 
Raha ya soda ukute haijaonjwa"
Maweee!!! chupa ya soda ilisha tumika na kutumika weee!! zaidi ya mara mia! midomo mingi imepitia pale!! weye unaiona mpya una akili kweli weye??? ...hata ukiiifungua haikuonyeshi ni mpya!! zaidi tu utasikia ka gas pfyuuuu!!!

wasawahili mbona manaridhika padooog sana!!! ......siku hizi bikra zinatengenezwa na shab tu! km hujui shauri yako.....au ulizia wakubwa zako!! kwani mdada akitoka njombe akaacha huko watoto sita!! akaja Dsm!! kuolewa

Sasa weye na ushamba wako utajuaje kuwa ana watoto sita??kwani wamejipanga kwenye papuchi??...utawasomesha hao, utawalisha hao kwa kisingizio ni watoto wa dada yake!....utakuja jua na wewe tayari una watoto sita!!

yule mkubwa wao uliyemsomesha kwa hela zako kesha anza kazi, na mke ulimfungulia biashara hela anazo, sasa kazi kwako uache au ukae!! ukiacha wewe sheria ya ndoa unaijua ni pasu kwa pasu! na umri umeenda!! hayaaa....amua weye uone patamu hapo!
 
Nimesoma post yako. Nilichokiona kwako unataka wanaume wote wawe na mawazo kama yako kitu ambacho hakiwezekani. Wewe unapoona single mom hawafai kuna wanaume wengine wanaona wanafaa. Mwanamke kuwa na mtoto haimaanishi kashapoteza sifa ya kuolewa. Mwanamke mwenye mtoto anapoingia kwenye ndoa mpya huwa makini na huwa na upendo sana kwa mumewe. Ishu ya kusema kwamba atakuwa anawasiliana na baba wa mtoto ni akili ya mwanamke. Kuna wengine hawathubu hata kuwasiliana na baba wa mtoto coz wanajua anaweza haribu ndoa yake muda wowote. Ninamfano wa jamaa mmoja hapa Mafinga alioa binti mwenye mtoto. Familia yake walisema sana lakini jamaa akala msimamo kwamba moyo wake unaamani na yule binti. Jamaa akamuoa na kuishi nae. Kitu cha kwanza jamaa akampenda yule mtoto kama mwanae na akampa ubini wake. Watu wengi wakajua ni mwanae. Baadae yule binti akamzalia jamaa mtoto wa kiume na wakawa wanapendana sana. Sasa hvi wamefanikiwa kimaisha vizuri na wanaishi kwa furaha. Jambo la msingi ni upendo hayo mengine ni mbwembwe tu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Inakuaje pale utakapo oa alafu mama mtoto akaweka msimamo kuwa watoto sio wako, kwaa maana ya kukataa kuwapa ubini wako na akasisitiza kuwa wataendelea kuwasiliana na baba yao?
 
Utateseka sana unadhani maisha yana formula. Tafuta Furaha achana na propaganda.
Single mothers wanajielewa sana na wanajua Kupenda bwa mdogo
Sasa asipojiongeza yeye kupanda,nani atampenda.yaaani singo maza lazima uwe mnyenyekevu,uwe na kihere here cha kupenda
 
Back
Top Bottom