Kwahiyo kawa single maza kwa mara ya pili
 
Hakuna wife material single mother,kitendo cha kuzaa kabla ya kuolewa tuu tayari ashapoteza sifa ya kua wife material
 
Chanzo cha Single Mother ni Wanaume.
Masingle maza miaka ya karibuni wanaongezeka kwa kasi kuliko miaka ile ambapo kuwa single maza
ni umefiwa na mme...
Chanzo cha single maza kwa kiasi kikubwa kwa karne hii ni wanawake dhaifu wa karne hii walioshindwa kuendana na utandawazi.
 
Kuoa single mother ni kuwaaibisha wazazi wako hapa duniani au huko ahela


Unaoaje single mother?? Mbona haiji kabisa hii
 
Mwanaume mwenzio kamshindwa huyo mwanamke we utamuwezaje,single mother ni bomu
Kuna wengine wakila pilau anatapika, ila mwengine ukimpa pilau anakula sahani hata 5 na kesho yake bado anataka kuendelea kula pilau
 
Wewe haujakutana na wale wanaowaambiaga wanaume za watu au wavuta bangi kuwa "nipe mtoto me ntalea mwenyewe wanaume nyie me staki stress".

Hawa wapo wengi sana na kipindi wakishapewa ujauzito wanawarejea tena hawa wanaume na kulazimisha malezi ya watoto wakati alishasema atalea mwenyewe. Wanaume wa hivi huwa hawahangaiki na wanawake wa hovyo huwa wanawapotezea na kuwaacha solemba.

Ndio tunakuja kuwakuta mitandaoni wanaandika wanaume wote mbwa, wanaume hivi wanaume vile.

Sasa wewe unatoka huko unakuja kuwatetea kwa huo uovu wanaofanya kwa kivuli cha kusema wanatelekezwa?!

Wewe nahisi hawa mabinti wa kisasa wanaojifanya vichwa ngumu hauwajui vizuri.
 
Ilikuwa zamani sio miaka hii. Ukiona chatu anakupapasa na kujizungusha katika mwili wako jua anapima size yako ajue atakumeza vipi na sio kwamba anakupenda na kujibebisha.

Sasa wewe neng'eneka yakukute......
 
Shenzi kabisa ... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oa tu kwani sisi tumekushika mikono...... Mbona unatoa povu kama mleta uzi amekuattack personally??
 
Nilienda kwa single mama mmoja HV Yuko kinondoni uko dad Ni mzur kweli ila kaachwa na yey mwenyewe anachagua sna wanume kwa maongezi yake tu nikaona siyo bure kaachwa hkn mwaume anamuacha mwankebila sababu geniun reason
Ukiona fisi ameacha mzoga jua hauliki huo au una sumu.....
 
kwahiyo mnasema kwamba ma single mother, au basi tu

dj walete na songi la boni mwaitege ''mtoto wa mwenzio umuone kama mtoto wako''
 
Ungetumia hii nafasi kuwaelimisha watoto wa kike kujisitiri miili yao hadi ndoa na kutii hizo ndoa ikiwamo kusimamia majukumu yao ya kuwa mke wa mtu bila kulazimishwa au kujilazimisha then ungekuwa unafanya la maana sana.

Ila hii kujaribu kusympathize nao ndio njia rahisi ya kuwa encourage zaidi hata mabinti wadogo na wao wafanye yale yale na kurudia matatizo ya wenzao.
 
Sema kwenye swala la mimba mi nitawalaumu wanawake



Mwanamke unajua mzunguko wako we ndio una uwezo wa kuzuia mimba utakubalije kuzaa na mpumbavu

Unaona mtu hana uelekeo tabia mbovu halafu unabeba mimba sasa akikimbia hapo utamlaumu nani
Kuna binti alizaa na jamaa ambae ameshazaa na wanawake watatu na kushindwana nao. Kitu nilichojifunza ni kuwa mabinti wa sasa wanaviburi vya kufanya maamuzi ya kukosea kwa makusudi sababu wanajua jamii hii ya sasa ni jamii inayowatetea bila kuwahoji wala kuwawajibisha na lawama huwa wanapewa wanaume always.

Kuna mama m'moja hivi nadhani ni mkuu wa wilaya alihoji kwann binti mwanafunzi anapopewa ujauzito anaewekwa ndani ni mwanaume huyu binti anaachwa anaendelea mtaani kudunda na mtoto analelewa bila baba na hatimae machokoraa wanaongezeka?!

Sijawahi ona ni wapi wanawake wanawajibishwa cha zaidi naona sana ongezeko la taasisi, sera, mikakati na wanaharakati wanaokuwa mstari mbele kutetea upuuzi na mambo ambayo ukikaa chini ukatafakari unaona wazi watoto wa kike wanakingiwa kifua na hufanya kwa kuamua kabisa kwa akili zao ila matokeo yake yakiwa mabaya utasikia wanaume na jamii mnawasababishia hawa mabinti matatizo.

The day tukianza kuwahold responsible na kutaka hawa wanawake wawe accountable kwa matendo yao ambayo wanajustfy ni wanaume wamewasababishia then mtaona hizi changamoto zitakavyoanza kupotea.
 
Masingle maza miaka ya karibuni wanaongezeka kwa kasi kuliko miaka ile ambapo kuwa single maza
ni umefiwa na mme...
Chanzo cha single maza kwa kiasi kikubwa kwa karne hii ni wanawake dhaifu wa karne hii walioshindwa kuendana na utandawazi.
Siyo kweli chanzo cha Single Mother ni Wanaume wanaojua kupachika Mimba na kukimbia, wewe Mwanaume na akili zako timamu unajua kabisa huna mpango na Mwanamke uliye naye kwa wakati huo kwanini unampa Mimba?
 
Siyo kweli chanzo cha Single Mother ni Wanaume wanaojua kupachika Mimba na kukimbia, wewe Mwanaume na akili zako timamu unajua kabisa huna mpango na Mwanamke uliye naye kwa wakati huo kwanini unampa Mimba?
Duuh!!! hiyo ni case nyingine lakini kama mwanamke unawezeje kukubali kubeba mimba bila ya kuwa umeolewa?
Mimi naongelea kwa hizi ndoa zinazovunjika na kuwaacha masingle maza.
 
Nimekuelewa na ndio maana nikasema hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, na ufatilie chanzo cha yeye kuwa single mother.
Elimu kwa wanawake ipo teari, ila wanaume wanahitaji kufundishwa pia especially kwa vitendo, ndio maana nikasema ukimstiri basi kama mtoto wake ni wakiume atakuheshimu maana unakuwa father figure kwake. Na yeye kutokana na experience ya mama yake aliyopitia atajitahidi kutokuzalisha mtoto wa mtu alafu akamuacha.

Yani pande mbili zote zina shida, ila kama umegundua wanawake wengi wakipenda wanakuwa wajinga na wataamini chochote utakachomwambia.

Mfano ukiwambia mtoto wa kike kua wewe unapenda mwanamke mwenye makalio makubwa basi out of desperation and love and fear of loosing you basi atahangaika ahakikishe anajiongeza ili tu akuridhishe, au ukimwambia unapenda mwanamke mweupe basi mdada atahaingaika kujichubua.
Kwaio ni kheri kufundisha wanaume kwanza kutomzalisha mdada kama huna nia ya kumuoa, matumizi ya condom yaongezeke, most of all kutokutoa ahadi ya kumuoa mtoto wa mtu na kumwambia akubebee mimba wakati huna nia nae, most important vijana wapunguze uzinzi maana ndio chanzo cha vyote.

Pia mwengine atasema mama yangu alizalishwa akaachwa kwaio na yeye anakua na ile mindset ya kuzalisha watoto wa watu nakuwaacha, ndio maana nasema ukimstiri yule mama basi umemnufaisha yeye na kizazi chake chote.

Mind hii ni kwa wale waliodanganywa lakini by nature ni innocent ladies sio wadangaji, wanaoingilia ndoa za watu, anaebeba kwa maksudi ili akupige kulea mtoto na type hizo.
 
Wewe unabebaje mimba ya mtu ambaye hajakuoa?
Unakuwa unawaza nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…