Mimi nimeogelea kwa ujumla wake, na nikiwa nina uzoefu wa kutosha tu katika maisha. Na hizo hoja alizotoa hapo juu, siyo lazima zitokee kwa kila mwanamke mwenye mtoto! Unaweza ukaoa mwanamke ambaye hana mtoto, lakini akawa na jamaa yake aliyempenda sana! Vipi hawezi kukudanganya?
Mwanamke wa maisha huwa anapatikana kwa mapenzi tu ya Mungu. Unaweza ukao single mother, na ukaishi maisha mazuri sana kuliko hata ya yule aliyeoa bikra! Na huu ndiyo ukweli mchungu.
Kinacho tusumbua wanaume ni wivu tu na kuto kujiamini! Hakuna kingine. Sisi tukifanya, huwa tunaona ni sawa tu. Akifanya mwanamke, tunajisikia maumivu mpaka kwenye mifupa.
Unajua mnapoongea mambo serious ya maisha epuka kugeuza mjadala kuwa kama discussion za midahalo ya secondary ya "Education is better than Money". Usiamini kuwa kwasababu una hoja na unaweza itetea basi hiyo hoja ni valid.
Kimsingi ili hoja iwe valid basi facts utazokuwa nazo kichwani ziwe na reflection ya reality na sio reflection ya fantasy.
Kwa mnaosema hakuna shida kwa mwanaume ambaye ni bado kijana mdogo wa umri na hana mtoto wala mahusiano yoyote serious kuingia kimahusiano na mwanamke /binti mwenye mtoto/watoto then kuna mambo ya msingi sana mnayaoverlook katika uhalisia wa maisha.
Hisia huwa haziishi bali ulala tu zikisubiria kuamshwa tena. Kuna tofauti ya kuwa na mwanamke ambaye hakuwa na mahusiano na mwanaume kabla yako. Huyu hata akikutana na wanaume mnapokuwa pamoja ndani ya akili yake anachojua ni kuwa yupo na mwanaume wake na wale wengine hawajui.
Ila imagine upo na mwanamke ameshazaa halafu yanatokea tafuatayo.
1. Anapigiwa simu na ndugu za aliekuwa mwanaume wake wakimshirikisha mambo mbali mbali ya kifamilia kama misiba, sherehe, au vikao tu. Je utamkataza asiwasiliane na upande ambapo watoto wake ndipo asili yao?!
2. Mnapita dukani, m'metoka out, upo kwenye basi mnaenda mkoa au upo popote na mwanamke wako huyu mwenye watoto na mwanaume mwingine halafu hamadi eneo mlilopo jamaa anatokea anaawatazama namna mnavyomlelea watoto kizembe, yeye kapiga bao kwa utamu wake halafu wewe unabebelea msalaba wa malezi na yeye kajibanza kimya maisha yanaendelea.
3. Au kwenye situation namba mbili hapo, jamaa anamtazama mwanamke wako na yeye anamtazama halafu wanakuwa na yale macho ya "ingawa tumetengana ila sisi ni wazazi wa hao watoto ambao huyo bwege anatusaidia kulea.
4. Hivi unajua kinachoendelea kwenye akili ya mwanamke anapokuwa anaongea na mwanaume ambae alishamvua nguo na wakakutanisha vikojoleo na alikuwa akifurahia wakati anamkunja kitandani wakinyonyana ndimi na kuangaliana usoni wakati jamaa naniliu yake ipo ndani ya mwanamke ikimwaga bao?!
Mwanamke huyu huyu unatarajia amchukie huyu jamaa eti?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawaza akiwa anaongea nae wakijifanya kuzungumzia maswala ya mtoto huwa vichwani wanakumbuka nini?!
Manina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5. Mtoto huwa hachukii mzazi hata iweje ni swala la muda watapatana na wakishapatana jua kifuatacho wewe itaonekana ni tatizo kwanini baba na mama yake hawapo pamoja na ndipo hapo mtoto akikua safari za siri kwenda kwa baba yake huanza na mama akitoa nauli kwa siri bila kukushirikisha sababu ni kitu anapenda baba na mwanae wawe pamoja kwa namna yoyote ile na wewe hata ukikubali hautakuwa na amani.
6. Kuna swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba mzazi then upendo na wewe huwa unashuka kwasababu baba mzuri lazima awe strict na mtoto wake, issue hubakia kwenye mali. Omba mwanamke wako awe amekupenda ile ya moyoni ila ikitokea yalikuwa mapenzi ya kutafuta pamoja tu maisha then jua balaa linaanza sababu mali zimeshapatikana, watoto wameshasomeshwa na kuwa wakubwa wanajiweza, then mama anaanza kuwa karibu na watoto wewe unageuka kuwa changamoto kwao sababu kilichowaleta kwako wameshapata. Ila katu hawawezi tupa upande wa mama yao na baba yao mzazi.
7. Kuna swala la watoto kupewa jina la ukoo ambao sio wao. Imagine mtoto kuishi katika uhalisia ambao ni wa kutengeneza yaani anawaita ndugu zako baba wadogo, baba wakubwa, shangazi tokea utotoni kisha akue aambiwe wapo wenyewe halisi hao ni kwasababu mama yako aliolewa huko ila kuna baba yako halisi. Hivi huwa mnawazia huu mkaranganyiko unavyowapa shida watoto ukubwani na pia kuwavuruga ninyi kama wazazi?!
8. Imagine mama yako na baba yako wanapokeaje taarifa au ugeni wa kutambulishwa mkamwana ila tayari umeshapigwa bao moja ama mbili hili ni tusi kubwa sana kwa namna wamekulea na kukuza wakitaraji uwaletee damu yao wewe unaenda waletea damu ya mtu gani sijui ambaye yupo huko aliko na anapumua vizuri tu kakuachia familia yake uigize kuwa baba.
9. Masingle mother wenyewe waulize hapa nakupa hiyo assignment. Muulize hivi, wewe dada huyu mtoto wako wa kiume , unahangaika nae kwenye jua na mvua kumpa chakula, mavazi na kumsomesha. Kesho na keshokutwa amekuwa mwanaume kipindi ambacho umri wewe umeshaenda, na anamafanikio makubwa na pesa nzuri tu, akikuletea mrembo anawatoto wawili au watatu na kukwambia anampenda sana kutoka moyoni na hao watoto anataka kuwalea yeye na kuwafanya wake na kibidi kubadili majina yao ya ukoo awape ya kwake, je utakubali huo uhusiano?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu uniletee majibu hapa ndio utajua namna hawa viumbe wanatuona sisi wanaume mabogoza kukubali jambo ambalo hata wao ukiwaambia walikubali kwa watoto wao hawawezi hata kwa dakika moja wakijua hasara ni kubwa kuliko faida.
Nimemaliza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]