Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Kama utani hv kumbe ndio ukweli huoWanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama utani hv kumbe ndio ukweli huoWanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
umesema kweli kabisa mkuu.Kuwa na watoto ni baraka mkuu.
Na hakuna mwanamke anayejipa ujauzito mwenyewe.
Ukishaona namna baadhi ya wanawake wanahangaika na changamoto ya kupata ujauzito, basi hapo single mom yeyote ataona namna Mungu alivyombariki.
Ni mwanamke ambaye anatarajia maisha yake yaendeshwe na mwanaume ndio atajilaumu why yeye ni single mom. Otherwise mwanamke anayejitambua atawekeza nguvu kujijenga kiuchumi na kuwalea watoto wake.
Kama ambavyo kuna wanaume wanahitaji wanawake mabikra, wasio na watoto vivyo hivyo kuna wanaume wanaohitaji wanawake ambao wameshazaa.
Mimi nashauri wanawake wenye watoto wakae mbali na mahusiano hadi pale atokee mtu sahihi.
Wawe busy kulea watoto wao.
Wanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
mbona hugegedi kichaaaa au kila mwanamke. sema mwanuame haitaji hisia za upendo kumgegeda mwanamke
Ni uongo kudai Usingle mum ni bahati mbaya. Nimekutana na mabinti wengi wanapenda ati wajizalie mtoto (imagine!) wakati hawako katika ndoa! Au anataka kuzaa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kumuoa akiwa na mategemeo ya kuolewa siku za usoni- yaani aolewe na mwanaye! Hii haikubaliki. Subiri ili uzae na utakayeishi nayeKuwa na watoto ni baraka mkuu.
Na hakuna mwanamke anayejipa ujauzito mwenyewe.
Ukishaona namna baadhi ya wanawake wanahangaika na changamoto ya kupata ujauzito, basi hapo single mom yeyote ataona namna Mungu alivyombariki.
Ni mwanamke ambaye anatarajia maisha yake yaendeshwe na mwanaume ndio atajilaumu why yeye ni single mom. Otherwise mwanamke anayejitambua atawekeza nguvu kujijenga kiuchumi na kuwalea watoto wake.
Kama ambavyo kuna wanaume wanahitaji wanawake mabikra, wasio na watoto vivyo hivyo kuna wanaume wanaohitaji wanawake ambao wameshazaa.
Mimi nashauri wanawake wenye watoto wakae mbali na mahusiano hadi pale atokee mtu sahihi.
Wawe busy kulea watoto wao.
Wanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
Enewei endelea kujifarijiMim ni single mom......kuingia kweny mahusiano na mwanaume ambae kwanza akili yake ni ndogo kama kisoda siwezi......ni bora nkae niendelee kufanya biashara zangu na kupata vi mia mia vyangu bila bughuza na mtu.........ww Mwanaume ukiona uwez kua na single maza acha tafuta huyo ambae hana mtoto alf jitahid sana akupende yeye.......kingine ukiona ww mwanaume unataka kuingia kweny ndoa na single mom kubali hili kumhudumia mwanamke na mtoto ake vzur sana kuliko baba wa mtoto anavohudumia......ukishindwa kajipange kutafuta wa hadhi kama yako....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hata kama Amefariki akikua atakutandikaSingle mother oa lakini kama mumewe kafariki apo
Mimi sijaongelea bahati mbaya mkuu.Ni uongo kudai Usingle mum ni bahati mbaya. Nimekutana na mabinti wengi wanapenda ati wajizalie mtoto (imagine!) wakati hawako katika ndoa! Au anataka kuzaa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kumuoa akiwa na mategemeo ya kuolewa siku za usoni- yaani aolewe na mwanaye! Hii haikubaliki. Subiri ili uzae na utakayeishi naye
umemaliza mjadala na hiyo statement ya sabuniUnarudi kule kule tu, nami nakazia pale pale….. vichaa kibao tu wanatafunwa mtaani.
Mwanamme anahitaji uchi tu, mwanamke yeyote anagegedwa ubaguzi ni pale tu ukiwa na machaguo…. kuna mtu ana hisia na sabuni?
Unajua mnapoongea mambo serious ya maisha epuka kugeuza mjadala kuwa kama discussion za midahalo ya secondary ya "Education is better than Money". Usiamini kuwa kwasababu una hoja na unaweza itetea basi hiyo hoja ni valid.Mimi nimeogelea kwa ujumla wake, na nikiwa nina uzoefu wa kutosha tu katika maisha. Na hizo hoja alizotoa hapo juu, siyo lazima zitokee kwa kila mwanamke mwenye mtoto! Unaweza ukaoa mwanamke ambaye hana mtoto, lakini akawa na jamaa yake aliyempenda sana! Vipi hawezi kukudanganya?
Mwanamke wa maisha huwa anapatikana kwa mapenzi tu ya Mungu. Unaweza ukao single mother, na ukaishi maisha mazuri sana kuliko hata ya yule aliyeoa bikra! Na huu ndiyo ukweli mchungu.
Kinacho tusumbua wanaume ni wivu tu na kuto kujiamini! Hakuna kingine. Sisi tukifanya, huwa tunaona ni sawa tu. Akifanya mwanamke, tunajisikia maumivu mpaka kwenye mifupa.
Wewe na wewe unapoongea uwe unatizamana na uhalisia. Mimi sijawahi kutana na single mother baba mtu awe amekufa. Ni aidha mume wa mtu, au mvuta bangi ambaye hana ramani ya maisha anafanya fanya ujana tu.Sio singo mothers wote wana wenza, wengine baba wa watoto wameshatangulia mbele za haki.
Wengine wametelekezwa n.k