Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuwa na watoto ni baraka mkuu.

Na hakuna mwanamke anayejipa ujauzito mwenyewe.

Ukishaona namna baadhi ya wanawake wanahangaika na changamoto ya kupata ujauzito, basi hapo single mom yeyote ataona namna Mungu alivyombariki.

Ni mwanamke ambaye anatarajia maisha yake yaendeshwe na mwanaume ndio atajilaumu why yeye ni single mom. Otherwise mwanamke anayejitambua atawekeza nguvu kujijenga kiuchumi na kuwalea watoto wake.

Kama ambavyo kuna wanaume wanahitaji wanawake mabikra, wasio na watoto vivyo hivyo kuna wanaume wanaohitaji wanawake ambao wameshazaa.

Mimi nashauri wanawake wenye watoto wakae mbali na mahusiano hadi pale atokee mtu sahihi.

Wawe busy kulea watoto wao.

Wanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
umesema kweli kabisa mkuu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
mbona hugegedi kichaaaa au kila mwanamke. sema mwanuame haitaji hisia za upendo kumgegeda mwanamke

Unarudi kule kule tu, nami nakazia pale pale….. vichaa kibao tu wanatafunwa mtaani.

Mwanamme anahitaji uchi tu, mwanamke yeyote anagegedwa ubaguzi ni pale tu ukiwa na machaguo…. kuna mtu ana hisia na sabuni?
 
Kuwa na watoto ni baraka mkuu.

Na hakuna mwanamke anayejipa ujauzito mwenyewe.

Ukishaona namna baadhi ya wanawake wanahangaika na changamoto ya kupata ujauzito, basi hapo single mom yeyote ataona namna Mungu alivyombariki.

Ni mwanamke ambaye anatarajia maisha yake yaendeshwe na mwanaume ndio atajilaumu why yeye ni single mom. Otherwise mwanamke anayejitambua atawekeza nguvu kujijenga kiuchumi na kuwalea watoto wake.

Kama ambavyo kuna wanaume wanahitaji wanawake mabikra, wasio na watoto vivyo hivyo kuna wanaume wanaohitaji wanawake ambao wameshazaa.

Mimi nashauri wanawake wenye watoto wakae mbali na mahusiano hadi pale atokee mtu sahihi.

Wawe busy kulea watoto wao.

Wanawake jipongeze unawatoto hai aiseee, kuna watu wanaonekana hawana watoto ila ni mama wa watoto marehemu kumi
Ni uongo kudai Usingle mum ni bahati mbaya. Nimekutana na mabinti wengi wanapenda ati wajizalie mtoto (imagine!) wakati hawako katika ndoa! Au anataka kuzaa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kumuoa akiwa na mategemeo ya kuolewa siku za usoni- yaani aolewe na mwanaye! Hii haikubaliki. Subiri ili uzae na utakayeishi naye
 
Mim ni single mom......kuingia kweny mahusiano na mwanaume ambae kwanza akili yake ni ndogo kama kisoda siwezi......ni bora nkae niendelee kufanya biashara zangu na kupata vi mia mia vyangu bila bughuza na mtu.........ww Mwanaume ukiona uwez kua na single maza acha tafuta huyo ambae hana mtoto alf jitahid sana akupende yeye.......kingine ukiona ww mwanaume unataka kuingia kweny ndoa na single mom kubali hili kumhudumia mwanamke na mtoto ake vzur sana kuliko baba wa mtoto anavohudumia......ukishindwa kajipange kutafuta wa hadhi kama yako....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Enewei endelea kujifariji
 
Ni uongo kudai Usingle mum ni bahati mbaya. Nimekutana na mabinti wengi wanapenda ati wajizalie mtoto (imagine!) wakati hawako katika ndoa! Au anataka kuzaa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kumuoa akiwa na mategemeo ya kuolewa siku za usoni- yaani aolewe na mwanaye! Hii haikubaliki. Subiri ili uzae na utakayeishi naye
Mimi sijaongelea bahati mbaya mkuu.

Ila nimeongelea namna single mum wanapigwa vita na kuonekana ni Aina ya wanawake wasiotakiwa kuolewa.

Bahati mbaya au bahati nzuri inategemea sababu iliyosababisha hao single mom wawepo, kuna waliofiwa na waume zao wakawa single mom.

Kuna walioolewa wakaachika wakawa single mom.

Kuna waliobakwa wanakapata ujauzito wakawa single mom.

Kuna hao wa kujitakia pia.

Wote ni single moms.

Ila sasa wasijione wanyonge sana, watoto ni baraka, mimi naamini kwa wanawake waliozaa wanajua mahusiano yalivyo.

Hivyo kuliko kuhangaika na wanaume ambao daily kuwasema ni heri muda huo watumie kulea watoto wao, kujiendeleza kiuchumi , elimu na ujuzi mbalimbali.

Then kwa wakati sahihi Mungu atawaletea watu sahihi.
 
Unarudi kule kule tu, nami nakazia pale pale….. vichaa kibao tu wanatafunwa mtaani.

Mwanamme anahitaji uchi tu, mwanamke yeyote anagegedwa ubaguzi ni pale tu ukiwa na machaguo…. kuna mtu ana hisia na sabuni?
umemaliza mjadala na hiyo statement ya sabuni
 
Mimi nimeogelea kwa ujumla wake, na nikiwa nina uzoefu wa kutosha tu katika maisha. Na hizo hoja alizotoa hapo juu, siyo lazima zitokee kwa kila mwanamke mwenye mtoto! Unaweza ukaoa mwanamke ambaye hana mtoto, lakini akawa na jamaa yake aliyempenda sana! Vipi hawezi kukudanganya?

Mwanamke wa maisha huwa anapatikana kwa mapenzi tu ya Mungu. Unaweza ukao single mother, na ukaishi maisha mazuri sana kuliko hata ya yule aliyeoa bikra! Na huu ndiyo ukweli mchungu.

Kinacho tusumbua wanaume ni wivu tu na kuto kujiamini! Hakuna kingine. Sisi tukifanya, huwa tunaona ni sawa tu. Akifanya mwanamke, tunajisikia maumivu mpaka kwenye mifupa.
Unajua mnapoongea mambo serious ya maisha epuka kugeuza mjadala kuwa kama discussion za midahalo ya secondary ya "Education is better than Money". Usiamini kuwa kwasababu una hoja na unaweza itetea basi hiyo hoja ni valid.

Kimsingi ili hoja iwe valid basi facts utazokuwa nazo kichwani ziwe na reflection ya reality na sio reflection ya fantasy.

Kwa mnaosema hakuna shida kwa mwanaume ambaye ni bado kijana mdogo wa umri na hana mtoto wala mahusiano yoyote serious kuingia kimahusiano na mwanamke /binti mwenye mtoto/watoto then kuna mambo ya msingi sana mnayaoverlook katika uhalisia wa maisha.

Hisia huwa haziishi bali ulala tu zikisubiria kuamshwa tena. Kuna tofauti ya kuwa na mwanamke ambaye hakuwa na mahusiano na mwanaume kabla yako. Huyu hata akikutana na wanaume mnapokuwa pamoja ndani ya akili yake anachojua ni kuwa yupo na mwanaume wake na wale wengine hawajui.

Ila imagine upo na mwanamke ameshazaa halafu yanatokea tafuatayo.

1. Anapigiwa simu na ndugu za aliekuwa mwanaume wake wakimshirikisha mambo mbali mbali ya kifamilia kama misiba, sherehe, au vikao tu. Je utamkataza asiwasiliane na upande ambapo watoto wake ndipo asili yao?!

2. Mnapita dukani, m'metoka out, upo kwenye basi mnaenda mkoa au upo popote na mwanamke wako huyu mwenye watoto na mwanaume mwingine halafu hamadi eneo mlilopo jamaa anatokea anaawatazama namna mnavyomlelea watoto kizembe, yeye kapiga bao kwa utamu wake halafu wewe unabebelea msalaba wa malezi na yeye kajibanza kimya maisha yanaendelea.

3. Au kwenye situation namba mbili hapo, jamaa anamtazama mwanamke wako na yeye anamtazama halafu wanakuwa na yale macho ya "ingawa tumetengana ila sisi ni wazazi wa hao watoto ambao huyo bwege anatusaidia kulea.

4. Hivi unajua kinachoendelea kwenye akili ya mwanamke anapokuwa anaongea na mwanaume ambae alishamvua nguo na wakakutanisha vikojoleo na alikuwa akifurahia wakati anamkunja kitandani wakinyonyana ndimi na kuangaliana usoni wakati jamaa naniliu yake ipo ndani ya mwanamke ikimwaga bao?!

Mwanamke huyu huyu unatarajia amchukie huyu jamaa eti?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushawaza akiwa anaongea nae wakijifanya kuzungumzia maswala ya mtoto huwa vichwani wanakumbuka nini?!
Manina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

5. Mtoto huwa hachukii mzazi hata iweje ni swala la muda watapatana na wakishapatana jua kifuatacho wewe itaonekana ni tatizo kwanini baba na mama yake hawapo pamoja na ndipo hapo mtoto akikua safari za siri kwenda kwa baba yake huanza na mama akitoa nauli kwa siri bila kukushirikisha sababu ni kitu anapenda baba na mwanae wawe pamoja kwa namna yoyote ile na wewe hata ukikubali hautakuwa na amani.

6. Kuna swala la urithi wa mali na umiliki mali. Hebu wazia umekutana na mwanamke ana watoto labda wawili halafu mkaanza kuyajenga pamoja. Baada ya miaka kadhaa mtoto akikua na kupata uelewa kuwa wewe si baba mzazi then upendo na wewe huwa unashuka kwasababu baba mzuri lazima awe strict na mtoto wake, issue hubakia kwenye mali. Omba mwanamke wako awe amekupenda ile ya moyoni ila ikitokea yalikuwa mapenzi ya kutafuta pamoja tu maisha then jua balaa linaanza sababu mali zimeshapatikana, watoto wameshasomeshwa na kuwa wakubwa wanajiweza, then mama anaanza kuwa karibu na watoto wewe unageuka kuwa changamoto kwao sababu kilichowaleta kwako wameshapata. Ila katu hawawezi tupa upande wa mama yao na baba yao mzazi.

7. Kuna swala la watoto kupewa jina la ukoo ambao sio wao. Imagine mtoto kuishi katika uhalisia ambao ni wa kutengeneza yaani anawaita ndugu zako baba wadogo, baba wakubwa, shangazi tokea utotoni kisha akue aambiwe wapo wenyewe halisi hao ni kwasababu mama yako aliolewa huko ila kuna baba yako halisi. Hivi huwa mnawazia huu mkaranganyiko unavyowapa shida watoto ukubwani na pia kuwavuruga ninyi kama wazazi?!

8. Imagine mama yako na baba yako wanapokeaje taarifa au ugeni wa kutambulishwa mkamwana ila tayari umeshapigwa bao moja ama mbili hili ni tusi kubwa sana kwa namna wamekulea na kukuza wakitaraji uwaletee damu yao wewe unaenda waletea damu ya mtu gani sijui ambaye yupo huko aliko na anapumua vizuri tu kakuachia familia yake uigize kuwa baba.

9. Masingle mother wenyewe waulize hapa nakupa hiyo assignment. Muulize hivi, wewe dada huyu mtoto wako wa kiume , unahangaika nae kwenye jua na mvua kumpa chakula, mavazi na kumsomesha. Kesho na keshokutwa amekuwa mwanaume kipindi ambacho umri wewe umeshaenda, na anamafanikio makubwa na pesa nzuri tu, akikuletea mrembo anawatoto wawili au watatu na kukwambia anampenda sana kutoka moyoni na hao watoto anataka kuwalea yeye na kuwafanya wake na kibidi kubadili majina yao ya ukoo awape ya kwake, je utakubali huo uhusiano?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu uniletee majibu hapa ndio utajua namna hawa viumbe wanatuona sisi wanaume mabogoza kukubali jambo ambalo hata wao ukiwaambia walikubali kwa watoto wao hawawezi hata kwa dakika moja wakijua hasara ni kubwa kuliko faida.


Nimemaliza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi mada za Single Mother zilitulia naona sasa zimeanza tena upya, Single Mother ni binadamu kama binadamu wengine acheni kuwaandama ili hali chanzo cha Single Mother ni Wanaume.
 
Sio singo mothers wote wana wenza, wengine baba wa watoto wameshatangulia mbele za haki.

Wengine wametelekezwa n.k
Wewe na wewe unapoongea uwe unatizamana na uhalisia. Mimi sijawahi kutana na single mother baba mtu awe amekufa. Ni aidha mume wa mtu, au mvuta bangi ambaye hana ramani ya maisha anafanya fanya ujana tu.
 
Kuna single mother Mmoja nilikuwa niponae kwenye mahausiano ya mapenzi Mimi nilikuwanae kwaajir ya kuzuga tu Yani demu wangu akisafiri namtafuta yeye single mother huyo. Sasa kuna siku tuna piga Stori nikamuuliza nionyeshe picha ya Baba mtoto wake nimuone tu akakubali akachukua simu akanionyesha picha yake nilivyo muona nikijana tu tunalingana lika moja. Sasa baada ya miez 8 kupita akanitumia SMS Baba mtoto wake kafariki Mimi nikampa pole kwenye status akaweka picha za mwanae na video fupi fupi za kupokea mwili wa Baba mtoto wake na siku za ya kuzika video akaweka Sasa Jambo nililokuja kugundua Baba mtoto wake ni mtu mzima umri analingana na Baba yangu 68 na huyo Baba mtoto alishakuwa mwakilishi wa wananchi mjengoni na mjumbe wa Halmashauri ya mkoa kichama!! Kumbe picha ya mwanzo ya Baba mtoto wake aliyo nionyesha ambaye tuna umri Sawa siyo Baba wa mtoto inaonekana kabambikiwa mtoto na inavyo onekana jamaa kashajua mtoto siyo wake na kamkataa hatoi Huduma, kwaiyo single mother alizaa na mume wa mtu na mtu mzima kwa tamaa ya pesa kwaiyo vijana wakiume tuwe makini tunapo kuwa kwenye mahsiano na wapenzi wetu wasichana wengi wasasa Wana kuwa na mahusiano na waume za watu kwa Siri kwaiyo akipata mimba ya mtu mzima Mzee anakubambikia kijana mwenzake, Msichana wa umri wa miaka 24 Una zaa na mzee wa miaka 68 tena mume wa mtu kisa pesa kwanini usiwe single mother.
 
Back
Top Bottom