ujana Bwana! raha sana!
nikijibu mtaona nawatukana wacha nitulie japo nakereketwa balaa
 
Makabila yetu mengi huo ndio utamaduni. makabila mengi kuoa KAYAMBA siyo aibu , ni sawa kabisa na ndiyo maana mtu anatolewa mahari hata mara 20 idadi ya wanaume waliomuoa!...pwani yote , usukumani, and many more tribes!
Kayamba ni nini
 
Haipingwi hyo mkuu!!!
 
Sababu anazozitoa ni kama hizi
(I) anasema eti alitelekezwa na huyo jamaa
(II)anasema basi TU hamtaki huyo jamaa
N.b Jamaa Yuko serious anataka kutoa mahari kabisa na mahari ashalipa ila demu ndio hataki kuolewa naye.
Basi kama hamtaki huyo mwanaume bora amekua muwazi mapema, ndoa na mtu usieridhika nae itakua na mabalaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?


Kama unamtazamo huo kuhusu single mother basi jitahidi sana na usiwe mmoja wa vijana wanaowapa watoto wa kike ujauzito na kuwakataa na pia unauhakika gani kama huyo uliyenaye yupo salama unaweza kuta ametumika kuliko hata huyo single mother, kikubwa jifunze kuheshimu wanawake
 
Aolewe na aliezaa nae mimi ningekua rais ningepitisha sheria wanawake waolewe na waliozaa nao



Sasa unakuta hayakuwepo makubaliano ya kuzaa kati ya hao wapenzi wawili.
Mwanaume alijua wanafanya ngono tu Na kupita kumbe Mwanamke ametegesha mimba au ni mzembe hajijui kalenda yake unategemea Mwanaume atakuwa tayari kubeba majukumu au kuoa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…