Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.

Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.

Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.

Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
 
Inaonesha umewazalisha wengi kiasi unawatafutia soko
 
Ambao hawajazaa inawezekana ni wengi kushinda walio zaa sasa tukisema tuwafuate walio zaa tutakua tunafanya ukatili wa kihisia kabisa kwa ambao hawajazaa wataolewa na nani sasa, alafu uliona wapi mechi ikaanza moja bila
 
Na wewe nikuweke ktk kundi la wanaume waoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…