Pia kama hana bikra ni sawa na unachosema kwa mtazamo wako,pia unaweza kuoa halafu akakuzalia mtoto wa mtu mwingine, haya mambo siku hizi hayana ujanja sana, ni vema kumuomba mwenyezi mungu akupe maisha marefu na mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari kabisa aliamua kuwa mama hata kama angetoa kumi,kuliko ambaye bado anaikaataa hali ya kuwa mama ili abaki sokoni ilihali anatumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haa haaa [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Boss sasa hapo umeongea nin yaan aliamua kuwa mama so akaanza kutoa mimba 10 afu ya kumi ndo akazaa?[emoji28] [emoji28] [emoji28]
So hata hao mabinti mnaowaonea wivu wameaumua kuwa mama so wanatoa mimba 10 ili wazae ya kumi ndani ya ndoa so wats difference ??!!!!!
Tuliza mzuka msome mleta mada utamuelewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv shida ni kuzaa au kuolewa na kuzaa kisha kuachika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba vuuuu kabisa ww acha fikra za kinyanyasaji na kibaguzi km hizo unaweza kufananisha binadamu tena mama au dada zetu na ujinga wako
Wreeeeee koma kabisa teeeena usirudie
Shibamiti
 
Ukioa mwanamke ambaye co bikra basi jua huyo alishatoa mimba so hakuna uafadhali,bora single maza aliyeleta baraka duniani
 
...Kuna kengine hapa kwetu kalikuwa na nyungu ya kuvutia lkn mchezo ilikuwa ni kutoa viumbe mara kwa mara saiv hiyo nyungu imening'inia upande upande inashukia mapajani kamekauka kama nyama ya kubanikwa....kamechoka vibaya mno!!bora viwe vinazaa tu...na vinawaonea wivu sana single mom maana ndiyo habari kwa sisi wanaume tunaotafuta wanawake....siyo hao watoto wa kike mama za Marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…