Sio kweli wanaume hua hawawatafuti wanawake waliozaa nao mm nina mwanamke ambae alizalishwa na mtu lkn huyo aliemzalisha hua hamtafuti mwanamke ila mwanamke ndio anamtafuta jamaa tena anamwambia kwann huji nyumbani kutusalimia haya najua kupitia mawasilino yao na mm nataka akishashika mimba akizaa tu namuacha

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Usimfanyie hivyo Mkuu.
Ni Bora umuache mapema Ila sio kumuongezea zigo la misumari.
Au ndio aisyefunzwa na Mamaye ninyi walimwengu mnamfunza
 
Duuuh
 
Usimfanyie hivyo Mkuu.
Ni Bora umuache mapema Ila sio kumuongezea zigo la misumari.
Au ndio aisyefunzwa na Mamaye ninyi walimwengu mnamfunza
Tatzo nilimuamini na kumpenda nmemfungulia biashara sasa nikiwaza hela niliyowekeza kwake najiona mjinga ni bora akanizalia tu hiyo biashara niliyompa atalea mwanangu tu

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Tatzo nilimuamini na kumpenda nmemfungulia biashara sasa nikiwaza hela niliyowekeza kwake najiona mjinga ni bora akanizalia tu hiyo biashara niliyompa atalea mwanangu tu

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Wajinga kama wewe ndio mnafanya wanaume tuonekane watu wa ajabu.

Ukitaka mwanamke aliyekamilika umba wa kwako au owa bikira.

Halafu huwa mnapata wapi muda wa kuwafuatilia wanawake?

Si bora huyo unajuwa wazi kazaa na mtu kuliko kulea Watoto ambao unaamini ni wa kwako kumbe wana baba zao?

Achana na biashara ya kufuatilia mwanamke utakufa siku si zako.

Halafu hizo pesa umewekeza Billion ngapi? Usikute mtaji wa million 10 unasumbuwa watu akili hapa eti umewekeza pesa nyingi.
 
Kuna watu wakiachana wameachana,hakuna kurudi nyuma
One out of ten,wengi wao huwa wanalikoroga kuwarudia waliowazalisha,hukatazwi kuoa,ila owa at your own risk.Kinachozungumzwa hapa ni reality,hivyo ndivyo walivyo,na iko kiroho zaidi,kunakuwa na unganiko linalowafanya washindwe kuachana....
 
Ni kweli mm ni mjinga ndio nmesema najiona ni mjinga mm hta nikiwekeza laki tu naona nyingi

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
One out of ten,wengi wao huwa wanalikoroga kuwarudia waliowazalisha,hukatazwi kuoa,ila owa at your own risk.Kinachozungumzwa hapa ni reality,hivyo ndivyo walivyo,na iko kiroho zaidi,kunakuwa na unganiko linalowafanya washindwe kuachana....
Sasa kuna mwanamke kazaa na wanaume watatu so huyu ukijichanganya ukaoa ndio itakua atawarudia wale wanaume wote aliozaa nao

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…