benazirjosemarie
JF-Expert Member
- Dec 22, 2021
- 298
- 539
Sio kweli wanaume hua hawawatafuti wanawake waliozaa nao mm nina mwanamke ambae alizalishwa na mtu lkn huyo aliemzalisha hua hamtafuti mwanamke ila mwanamke ndio anamtafuta jamaa tena anamwambia kwann huji nyumbani kutusalimia haya najua kupitia mawasilino yao na mm nataka akishashika mimba akizaa tu namuachaSingle maza tunawalaumu bureee,,,hivi ikiwa wewe uliyemzalisha bado unamfuatafuata na kumtamani unadhani atakataa? Wengi hufanya hivyo ili Watoto/Mototo azidi kupata mapenzi ya Baba,,,Me naamini ikiwa wewe uliyemsababishia huo usingle maza ukawa mbali naye na ukaweka mipaka siyo (minyau)baina yake na wewe sidhani kama kuna kitu kinaweza Haribika,,,ila wengi wa waluowazalisha wanakuaga na tamaa,,,kumbukeni kuna wanaume baadhi ni mara umbwa yaani tunawaita zoazoa.......
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app