Natumia App huyo emoj anaonekana kama anacheka [emoji23][emoji23][emoji23]

Niko poa rafiki yangu wavivu wa kwenda kusali [emoji23][emoji23][emoji23]
okay mama.

kina nani hao wavivu? Tupo kumfariji jamaa yetu hapa baada ya kupigwa na single mother hadi mda wa ibada umepita 😂
 
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20230703-092006_Google.jpg
    25.4 KB · Views: 2
kukumisi kunanimaliza [emoji6]

nasali sana mbona au nikipiga ishara ya msalaba niwe napost?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua wee ni chizi nimecheka.

Uwe unapost kila ukitoka kanisani ili niamini kama unasali kweli [emoji2][emoji2]

Nakumiss pia rafiki yangu [emoji8] hunaga baya mwenyewe.
 
Sasa mtu mwenye fikra na mtazamo huo unahitaji busara au kumkwepa?
Mtu anayekulia timing huyo ni nyoka, nyoka unadeal nae kwa kumuua au kufungua mlango atoke.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua wee ni chizi nimecheka.

Uwe unapost kila ukitoka kanisani ili niamini kama unasali kweli [emoji2][emoji2]

Nakumiss pia rafiki yangu [emoji8] hunaga baya mwenyewe.
nafurahi kuwa sababu ya kicheko chako🥰

Nasali fanya namna nitakuwa nakupostia kule siwezi weka majukwaani.

😘 ahsante rafiki wa faida nna imani leo umeniombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…