Mithali 6:32​

Mtu aziniye na mwanamke (mwanaume) hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Sasa hiyo Mithali nafkiri ifanyiwe tathmini irekebishwe...sasa mtu azini na mwanaume au mwanamke asiwe na akili, aende akazini na Mbwa au komba?! 🤔🤔🤔
 
Kuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi.

JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype.

Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia

Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza

Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao they do appreciate uwepo wa single mother

KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
 
Na wengine ni wazazi watarajiwa wa masingle mother wa badae sjui kwann tunaropoka wakati kesho zetu hatuzijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…