Simu za kila mara ni kuukaribisha ugomvi...apige once in a week na mtoto kukaa nae na kumlea sio tatizo....baraka zinaongezeka kwa usafi wa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaujua utamu wa single mazas wewe, wanajua kuwajibika mno maana option ya kuolewa tena ni nadra.Na wahuni wanasererekea humo kwa free service.

Mi kuna mmoja alijaa akawa ananijia resi mno nikaweka, akataka kuniganda nikamfungia vioo...Alishaanza habari za kuimagine ndoa baada ya kumgongelea nchi 6 za uhakika. Well im too young to have such kind of woman, siwezi kuoa single mama aisee, as long as jukumu langu ni kutafuta pesa tu..Sitakosa mwanamke fresh nina imani!
 
Kesho mtaani kwetu kuna binti mkalii ni singo maza.anaolewa..mapilau mtaa mzima.
wiki ilopita kafanyiwa send off ya kukata shoka hotel ya nyota tano ..

karibuni sana..
unachokiona mzoga wenzio wanakiona lulu..laiti kama wanaume wote wangekua na akili za mtoa mada tusingeshuhudia hata mmoja akiolewa..but wanaolewaa na wanaume wenye mafanikio....
 
Tuzungumzie hiyo hiyo mara moja inakuaje kwa hayo nliyoyasema

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana haki ya kumuulizia mwanae...muhimu huyo mwanamke aliyeamua kufungua ukurasa mpya wa ndoa aiheshimu ndoa yake na maongezi yahusiane na mtoto tu....jambo la kwenda pembeni na kuongea na ex husband wake halitaleta image nzuri so anapaswa kuongea nae akiwa karibu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hatari sana [emoji146]

Ila wewe utakuwa MARIOOO
 

Mheshimiwa Napoleone wahenga walisema kuwa UKIPENDA BOGA PENDA NA UWA LAKE. Maana yake ni kuwa ikiwa mnaelewana na umethibitisha kuwa ana upendo wa dhati kwako na wewe kweli umempenda (Isije kuwa umemtamani) kusomesha mwanaye siyo shida.

Cha muhimu ni kujua baba wa mtoto yupo wapi na ana msaada gani kwa mwanaye (kama yupo), alifariki au ilikuwaje wakatengana (Usimchimbe sana hawezi kukwambia yote). Unaweza kuoa ambaye hana mtoto lakini ukakuta unasomesha mashemeji na matatizo lukuki. HIVYO NAKUSHAURI ZINGATIA UPENDO WA KWELI.
 
Ni kweli bro,ngoja niangalie mwishowe itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…