Mmh. Sidhani ila wacha nijaribu kujilazimisha kuamini ulichoandika Mkuu.
 
We ni mwanamke huwezi kuelewa hapa,nitafute private nitakuelewesha,sisi wanaume ndo waoaji na ndiyo tunaoelewa ugumu wa kuoa single mother
Hahahaaa. Swala hili tu mpaka nikutafute chemba Mkuu.

Mmh. Basi wacha tu nibaki na kutokuelewa kwangu.
 
Yaani ata mie mwanamke aliezaa sitegemei kabisa kuishi nae kama mme mke!!, Yaani mara paaah!!, Bwana fulani unakubali kumuoa Bi fulani ( msimbe)!!! Haipo kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sometimes wanaume tunakuwa kama nini sijui, sasa hao wanawake wamezalishwa na wanawake wenzao? Cha msingi cha kuangalia kama binti anakufaa hayo mambo ya watoto ni sioni kama yana tija.
 
Mmh. Sidhani ila wacha nijaribu kujilazimisha kuamini ulichoandika Mkuu.
Kisaikolojia wanawake huumia sana kizalishwa na baadae kuona mwanaume ameoa mtu mwingine. Wengi hujiuliza kwani wao wamekosa nini. Hili wengi hupelekea hata kutembea na mzazi mwenzie kama kumkomoa aliyeolewa. Mara ngapi umesikia wanawake wenza wanagombana na kumwambia mwenzake naweza kurudi nikitaka ili mradi naye awe justification anaweza kupendwa. Utakataa lakini hakuna linalowauma wanawake kama hilo.
 
Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.

Kwani kwa mwanamke uliyemkuta ameshatumika hawezi kuingia ndoani halafu akawa na mahusiano na jimbo lake la nyuma?
Hapo tofauti,kwa mwanamke ambaye hajazaa ni 50/50 ila kwa mwanamke aliyezaa ni 100 kwa sababu ya mtoto,kwa mfano mtoto anaitwa john,tayari kuna watu wawili baba john na mama john hiyo ni bond tayar
 
Wazo zuri
 
Bora huyo ametoa kuliko
Kwenda kulea dam ya mwingine
Af Bado janamke lnaendelea
Kukuletea jeur kwakua ushamuoa


Mm hii stafanya bora nibak bla mke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa Mkuu. Hivyo na wewe unasimamia kwamba single mothers sio wa kuoa?
 
Mnajua kujidanganya wengi huwa wameshaangusha mimba nyingi kizazi kimelegea tayari,alafu kwako utamwona kigoli kumbe ni mama wa marehemu
Bora aliyetoa mimba kwa sababu mwanaume anakuwa hajui,kuliko mwenye mtoto unapiga picha nimemuoa mwanamke ambaye alivuliwa chupi,akapewa mimba akaachwa,na kibaya zaidi bado ana mawasiliano na mzazi mwenzake,sihamasishi mademu watoe mimba bali wawe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…