Hahahaaa wamekusikia wenyewe
 
Single mother wengi ni malaya tu.
Wengi waliwakataa wanaowapenda na kufuata au kujipendekeza kwa wanaume wenye mali nyingi.
 
Watch your tongue, usimtukane mamba hujavuka mto
 
Siku ukikua mtazamo wako utabadilika.
 
Kulelewa na single
mother haimaanishi kwamba ndo
uoe single mother, eti tu kwasababu mama yako na dada zako ni single mothers, wewe wa wapi wewe
kila mtu ana vipaumbele
Kama kila mtu anavipaumbele vyake,kwanini wewe unalazimishia vipaumbele vyako kwa watu wengine?
 
Muda mwingine kuwaonea Huruma hawa single mothers ni sawa na kuendekeza ujinga.

Kuna binti mimi na mfahamu alizalishwa na kijana wa kiarabu eti kwa sababu tu alitaka kuzaa katoto kazuri keupe alafu huyo kijana kiarabu hana habari na yeye kabisa alishooa na kuoa mwarabu mwenzie.

Na pia kuna mwingine alipewa mimba na mme wa jirani yake akashindwa hata kuendelea na shule na sasa hivi anawachukia wanaume kweli eti wamekatisha ndoto zake.

Sasa watu kama hawa ukisema eti tuwaonee huruma mimi nitakuona wewe ni mwendowazimu tu. Acha wapambane na hali zao
 
Hahaaaaa!!!! Hako kabinti kalikozaa na mwarabu kako wapi maana hata mimi kuna kabinti nakafahamu kamecheza mchezo huo huo kasije kakawa ndo hako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…