Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,154
- 7,083
Pole ya nini kwa malaya aliejipendekeza kwa wanaume wenye mali na kuwaacha wanaompenda eti kisa hawajafanikiwa.
Polee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee
Hahahaaa wamekusikia wenyeweMsipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke
Mapovu ruksa
Wakizaaa na kulea watoto wao wakiwa peke yao single mother malaya na maneno kibao,wakitoa mimba ili waendlee kula maisha hajawahi zaa huyu ndio anafaa kumbe n muuwaji mzuri.
Uwe unatafakari yaweza ikawa una ndugu wa kike,either dada na wengije na mambo kma hayo hutokea tu katika maisha na hakuna anaeomba kuwa single mother ila kuna situation ambazo zinawaforce wao kuwa katika hali waliyo nayo kwa sasa,kulikoni mtu akae katika ndoa yenye kumepeleka katika kifo n bora abakie yeye na maisha ya na watoto wake.
Natamani sana kuujua mwisho wako nione utaoa mke wa design gani,na si ajabu mungu akakupiga kibao huyo unaemtaka ambae sio single mother akaja kukuletea kizingumkuti hadi ukahis kaburi hili hapo na ukatamani hata ungemuoa yule single mother ulie mkataa.
Think twice kabla hujatenda.
Huna adabu kabisa na ungekuwa karibi ningekutia kibao cha kichwa kwanza. Bwege wewe
Alikuja kurudi badae yule mwanamke aliekua nae kazaa nae na wameachana....magu kamnyoosha anataka tuunganishe nguvu maisha kama hayaelewi vile akakuta tayar ninamchumba mwingine
Watch your tongue, usimtukane mamba hujavuka mtoMsipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke
Mapovu ruksa
Siku ukikua mtazamo wako utabadilika.Msipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke
Mapovu ruksa
Kama kila mtu anavipaumbele vyake,kwanini wewe unalazimishia vipaumbele vyako kwa watu wengine?Kulelewa na single
mother haimaanishi kwamba ndo
uoe single mother, eti tu kwasababu mama yako na dada zako ni single mothers, wewe wa wapi wewe
kila mtu ana vipaumbele
Sijamlazimisha mtu kuoa single mother ila nimeweka msimamo wangu kwamba siwezi kuoa single motherKama kila mtu anavipaumbele vyake,kwanini wewe unalazimishia vipaumbele vyako kwa watu wengine?
Thubutuuuu!!!!! Bora nisioeSiku ukikua mtazamo wako utabadilika.
Huo ndo msimamo wangu siwezi kuoa single mother, kwani kutokuoa single mother ni dhambi au kosaWatch your tongue, usimtukane mamba hujavuka mto
Na mimi nimemwambia hivyo hivyoNgoja nae akuzalishe tena ndio utagundua kuwa wewe ni malaya.
Akikujibu unitagYupi bwege sasa single mother au mtoa mada.
Hahaaaaaaaa!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole ya nini kwa malaya aliejipendekeza kwa wanaume wenye mali na kuwaacha wanaompenda eti kisa hawajafanikiwa.
Hapana sipo hivyoIla kutwa kucha kuvizia wake za watu pumbavvvvvv.
Na mimi nimemwambia hivyo hivyo
Akikujibu unitag
Hahaaaaa!!!! Hako kabinti kalikozaa na mwarabu kako wapi maana hata mimi kuna kabinti nakafahamu kamecheza mchezo huo huo kasije kakawa ndo hakoMuda mwingine kuwaonea Huruma hawa single mothers ni sawa na kuendekeza ujinga.
Kuna binti mimi na mfahamu alizalishwa na kijana wa kiarabu eti kwa sababu tu alitaka kuzaa katoto kazuri keupe alafu huyo kijana kiarabu hana habari na yeye kabisa alishooa na kuoa mwarabu mwenzie.
Na pia kuna mwingine alipewa mimba na mme wa jirani yake akashindwa hata kuendelea na shule na sasa hivi anawachukia wanaume kweli eti wamekatisha ndoto zake.
Sasa watu kama hawa ukisema eti tuwaonee huruma mimi nitakuona wewe ni mwendowazimu tu. Acha wapambane na hali zao