hihi hii kazi ngumu sana!

ambao hawana watoto si wapo jamani? au umepigwa juju?
 
Jsma hauna house girl
 
😁😁 mkuu sasa mechi imeanza mwenzio aggregate inasoma 2-0 unawezaje kutenganisha hapo ukaribu wa watu walio zaa pamoja ningumu sana kutenganisha....watapasha tu kiporo kama sababu za kutokuwa pamoja haszikuwa na migogoro sana
 
kwa sababu hii siwez oa single mother labda kma mwenzake kafariki.
 
Umeongea ukweli mtupuuu, hujaacha hata chembe. Leo nmeshuhudia picha za mahaba za mke wa mtu akimtumia baba mtoto wake kadai kammic sana, nikawaza sana hivi mumewe analijua hili. Nikaingia huruma tu
Ndio maana mie ntaoa "silidi wumani" kama miss powers tuanze wote 0-0[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…