Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sijui tatizo liko wapi.
Mimi mbona single mom naoa bila shida kama nimempenda. Tatizo ni je nitampenda? Ana tabia gani, ndiyo wengi unakuta single mom na vicheche ila wapo wachache wanaojielewa, hao naenda natambulisha home bila shida. I'm a big man sichaguliwi mke.

Kaguswa na wengine so what? Hata mi nimefanya the same thing na haijaniharibu.
 
Mwanamke aliyezaa ana raha yake bhana.... 1: Ana adabu. 2; Anajua maisha.hata mkilala njaa yeye poa tuu. 3: Ana njia nyingi za mafanikio. 4; ni mvumilivu.... Lkn hivi vibint ambavyo havijui moja wala mbili vinakwenda kujifunzia Kwa mwanaume ni shiidaaa sana.. Vinaropoka mpk siri za ndani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ha ha ha mkuu uzuri usikuzuzue aisee...hao majanga yao wanayajua mwenyewe! Hujiulizi chuma kama hicho mwanaume mwenzako kwanini alikipiga chini licha ya kumzalia mtoto?

Anyway nshadate na single mother(s), nawajua vizuri...wengi huwa wanajifanya wema sana nwanzoni na kujifanya hawana hatia ila haipiti muda wanafunua makucha!
Duuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Kuna kengine hapa kwetu kalikuwa na nyungu ya kuvutia lkn mchezo ilikuwa ni kutoa viumbe mara kwa mara saiv hiyo nyungu imening'inia upande upande inashukia mapajani kamekauka kama nyama ya kubanikwa....kamechoka vibaya mno!!bora viwe vinazaa tu...na vinawaonea wivu sana single mom maana ndiyo habari kwa sisi wanaume tunaotafuta wanawake....siyo hao watoto wa kike mama za Marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbavu zanguuuu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LABDA BABU ZETU WASEME HAYA WANAWAKE WA KISASA WENGINE TUMETOA MIMBA 10 WENGINE TUNA WATOTOT VIJIJINI HAHAHAHAAA MNAJIFURAHUSHA TU
 
Dah! Kuna mmoja niliwahi kuwa nae,nipo kazini kaniaga anaenda harusini akarudi kesho yake siku naangalia picha picha karibu zote yupo yeye na baba watoto wake pamoja na mtoto wao wamependeza hao! Iliniuma sana nilipokumbuka walirudi kesho yake .

Je, wewe umewahi shuhudia kituko gani cha single mothers kiwe chako au cha jirani yako?
 
Back
Top Bottom