Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Afu inasemekana ukimuoa aliyezalishwa teyari yule mzazi mwezake akitaka kumla inakuwa rahisi saana
 
Kuna nchi fulani watoto na vijana wadogo wanalelewa na bibi zao, au wanaishi na mama zao.

Ukweli ni kuwa tunakoelekea single families zitakuwa nyingi, pengine sababu kubwa ni maisha kubadilika kwa kiwango kikubwa, globalization nayo inachangia.

Lakini naamini sio afya sana kulea watoto wetu bila wazazi wote kushiriki 100%.
 
Back
Top Bottom