Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahaaaMmh!
Mi kijana mtulivu kabsaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaMmh!
Hahaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] samahaniSwali gani hilo nitake radhi kwanza alaaa wee
Huo ndo ukweli au unataka nikudanganyeDu jamani kwanini kunyanyapaa single mother kwani si mliwapa mimba na kuwakimbia nyie me sasa afanye nini jamani?
Asante, nimekusamehe [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] samahani
Ndo ukweli huo dada na wanaume wenyewe aka waoaji ndo tumesemaYaani umenishinda kwakweli
Kulea mtt sio shida mkuu ila shida ni kuwa hamkawii kupasha kiporo moto nyinyi viumbe.Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.
Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.
Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Hiyo ni ndoto ya mchana kweupe kabisaHahahaa. Wacheni hizo mawazo bana.
Unaweza pata mama mwenye mtoto na akawa ni mwanamke bora kuwahi kutokea kuliko huyo asiye na mtoto.
Jua kuwa kama baba wa mtoto wa huyo mwanamke unayeoa bado yupo hai basi mkuu kugongewa ni kitu cha kawaida kabisa so andaaa moyo mgumu mapemaaaaaaaaaaNonsense kabisa
Unayeoa hana mtoto jua:
1. Alishatoa mimba;
2. Na hivyo ashaua watoto kibao kupitia abortion. Hivyo unaoa criminal(mhalifu)
3. Haimaanishi kuwa ambaye hana mtoto yupo sealed. No! Ashakwanyuliwa.
Afadhari aliyezaa utajua anawatoto wangapi.
Ambaye hana lakini unakuta matiti yashakuwa madaso, mahala penyewe napo mpaka pashakuwa na masikio fulani ( nyama zinazoning'inia), yaani afadhari nioe mwenye mtoto.
Truetatizo linakuja kwanini aliyemzalisha asimuoe?
bhasi hata kumchukua huyo mtoto
Ujumbe umefika, tutanza kwa hawa ambao bado hamjawapitia kaka yangu, lakini walio tayari na watoto mngewaoa tuNdo ukweli huo dada na wanaume wenyewe aka waoaji ndo tumesema
WANA SHIDA YA KUKUMBUSHIA Pindi wakienda kuchukua pesa za matumizi kwa baba wa watoto.Hahahaaa. Vibaya hivyo kwani wana shida gani au umesikia wanakuwaga na shida gani?
Au na wewe unafuata ya mleta uzi.
Wengi tamaaa zao huwa zinawaponzaUnaongea as if hizo mimba wanakua wameokota sperms mtaani wanajitumbukizia kwenye papuchi zao na mtoto anakuja.
Dawa ni kutafuta BIKIRA TUHahahaaa. Kumbe hicho tu. Mmh.
Kama kukumbushia anaweza kuwa asiye na mtoto ila kabla yako alikuwa na boyfriend na mwisho wa siku akaamua kukumbushia na wakakumbishia vilevile.
Hivyo kote kuna athari Mkuu.
Tatizo ni lazima utagongewa na baba was huyo mtoto!!!Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.
Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.
Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Mkuu mungu hawezi kukupa single maza ukiomba mke mwema .kwa kuwa huyo tayari ni mke wa yule aliyempa mimba ww utakuwa kama umeoa mke wa mtu tu so MUNGU HAKUPI MWANAMKE ALIYEZALISHWA .Umeona sasa Mkuu. Tukiwaza kwa undani sana ni kuomba Mungu tu akuonyeshe mwanamke aliye bora iwe ni Single mother ama la.
Sababu mwisho wa siku ukiingia pabaya unaweza juta Mkuu.
Umeongea kwa hisia lakini ukweli utabaki pale pale....Sikila single mather Alitaka kuwa single mather noway, wewe nimpumbavu kama umesoma elimu haijakusaidia kabisa.
Unamaanisha wakosaji ni wanawake tu, mwanaume mmekamilika bumbavuuuuu kabisa mimi nimelele na mama pekeangu baba alimkimbia mama akaenda kutafuta maisha akatokomea uko kusikojulikana mbona nimekuwa kwa single mather na nina Elimu tosha kupitia huyo single mather kwa step father.
Kwadada wa sasa hivi ni bola uoe single mather. yame mfika mengi atatuli,Owa huyo sister du.uone atakavyo kutelekeza na watoto, nautatafuta wakukulele watoto na awatese mpaka basiiiii ""styped boy"".
Ongelea kingine na sihao single mather mfano mzur millard ayo, dai, wamelelewa na single mather watu kibao.
Si kila single mather, alitegemea kulea mtoto pekeake, nyie ndo mnao sababisha watoto wanatupwa akisoma upuuzi wako,kama anamimba na imetelekezwa anabapwa na roho ya shetani anamzuru mtoto akijifungua.
NB. Owa uyo unaemuona msichana kumbe katoa mimba saba nk. mbona wengi mno hao sina mtoto kumbe kazika kibao.Tafuta bikira ndo utakuwa hana mtoto.
Bila shaka umeoa single mazaMawazo ya vivulana na kamwe mwanaume hawezi toa idea kama hizi
Hapa nakuunga mkono, Mungu anampa mtu "Mke wa ujana wake"Mkuu mungu hawezi kukupa single maza ukiomba mke mwema .kwa kuwa huyo tayari ni mke wa yule aliyempa mimba ww utakuwa kama umeoa mke wa mtu tu so MUNGU HAKUPI MWANAMKE ALIYEZALISHWA .