Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Kulea mtt sio shida mkuu ila shida ni kuwa hamkawii kupasha kiporo moto nyinyi viumbe.
 
Nonsense kabisa

Unayeoa hana mtoto jua:

1. Alishatoa mimba;

2. Na hivyo ashaua watoto kibao kupitia abortion. Hivyo unaoa criminal(mhalifu)

3. Haimaanishi kuwa ambaye hana mtoto yupo sealed. No! Ashakwanyuliwa.

Afadhari aliyezaa utajua anawatoto wangapi.

Ambaye hana lakini unakuta matiti yashakuwa madaso, mahala penyewe napo mpaka pashakuwa na masikio fulani ( nyama zinazoning'inia), yaani afadhari nioe mwenye mtoto.
Jua kuwa kama baba wa mtoto wa huyo mwanamke unayeoa bado yupo hai basi mkuu kugongewa ni kitu cha kawaida kabisa so andaaa moyo mgumu mapemaaaaaaaaaa
 
Yaani ww jamaa unaakili kama zangu kwanza mm nikitongoza cha kwanza kujua kama anamtoto napiga dundo unaanzaje kuowa demu aliyezalishwa kwani wameisha wanawake
 
Ni kweli kabisa hata mpira unaanza timu zikiwa hazijafungana 0-0.hakuna mpira unaanza timu moja ikiwa tayari na magoli 2
 
Hahahaaa. Vibaya hivyo kwani wana shida gani au umesikia wanakuwaga na shida gani?

Au na wewe unafuata ya mleta uzi.
WANA SHIDA YA KUKUMBUSHIA Pindi wakienda kuchukua pesa za matumizi kwa baba wa watoto.
 
Ta
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Tatizo ni lazima utagongewa na baba was huyo mtoto!!!
 
Umeona sasa Mkuu. Tukiwaza kwa undani sana ni kuomba Mungu tu akuonyeshe mwanamke aliye bora iwe ni Single mother ama la.

Sababu mwisho wa siku ukiingia pabaya unaweza juta Mkuu.
Mkuu mungu hawezi kukupa single maza ukiomba mke mwema .kwa kuwa huyo tayari ni mke wa yule aliyempa mimba ww utakuwa kama umeoa mke wa mtu tu so MUNGU HAKUPI MWANAMKE ALIYEZALISHWA .
 
Sikila single mather Alitaka kuwa single mather noway, wewe nimpumbavu kama umesoma elimu haijakusaidia kabisa.

Unamaanisha wakosaji ni wanawake tu, mwanaume mmekamilika bumbavuuuuu kabisa mimi nimelele na mama pekeangu baba alimkimbia mama akaenda kutafuta maisha akatokomea uko kusikojulikana mbona nimekuwa kwa single mather na nina Elimu tosha kupitia huyo single mather kwa step father.


Kwadada wa sasa hivi ni bola uoe single mather. yame mfika mengi atatuli,Owa huyo sister du.uone atakavyo kutelekeza na watoto, nautatafuta wakukulele watoto na awatese mpaka basiiiii ""styped boy"".

Ongelea kingine na sihao single mather mfano mzur millard ayo, dai, wamelelewa na single mather watu kibao.

Si kila single mather, alitegemea kulea mtoto pekeake, nyie ndo mnao sababisha watoto wanatupwa akisoma upuuzi wako,kama anamimba na imetelekezwa anabapwa na roho ya shetani anamzuru mtoto akijifungua.

NB. Owa uyo unaemuona msichana kumbe katoa mimba saba nk. mbona wengi mno hao sina mtoto kumbe kazika kibao.Tafuta bikira ndo utakuwa hana mtoto.
Umeongea kwa hisia lakini ukweli utabaki pale pale....
 
Mkuu mungu hawezi kukupa single maza ukiomba mke mwema .kwa kuwa huyo tayari ni mke wa yule aliyempa mimba ww utakuwa kama umeoa mke wa mtu tu so MUNGU HAKUPI MWANAMKE ALIYEZALISHWA .
Hapa nakuunga mkono, Mungu anampa mtu "Mke wa ujana wake"

Tena kusudi la Mungu ni kumpa Mwanaume muoaji Mke Bikira

Umwombe Mungu mke mwema kisha akuletee mwenye watoto...HAIWEZEKANI ASILANI.
 
Back
Top Bottom