Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hizi story dada yangu.
Nakupa mfano mmoja.
Williams, baba yao kina Serena.
Alioa akakuta na watoto wa kufikia.
Kawalea wote Kama wake.
Ilipotokea shida tu wote wakamsusa.
Ujinga huu.
Nimetoa mfano huu kwani iko documented.
Huku kwetu ndio kila siku shida.
Kuna watoto wa kambo wamebakwa/kulawitiawa na baba wa kambo.


Sent using Jamii Forums mobile app

I understand honey.

Ila nikuambie kitu, bila hata documentations kuna watu ambao wanaweza kuja kutoa ushuhuda jinsi gani wazazi wao wa kambo walivyokuwa baraka katika maisha yao.

It cannot all be negative. Stay positive.
 
Wanawake sisi jamani, huwa tunawalaumu tu wanaume humu kusimanga single moms ila wazazi pia ni changamoto haswa wa kike. Nililishuhudia hili wakati kaka yangu fulani alipotaka kuoa mwanamke mwenye mtoto, mama yake ndio alikuwa wa kwanza kunyanyua mdomo.

Bahati nzuri nae alikuwa na binti mwenye mtoto tayari. Nilimuuliza tu "je unapenda binti yako siku moja aolewe na awe na familia yake?" Alijibu "ndio" bila kufikiria kwanza. Nikamuuliza tena "utajisikiaje akinyanyapaliwa na wakwe kwasababu ana mtoto tayari?"

Hapo ilibidi awe mpole na aibu juu. Ndoa ilifungwa na maisha yanasonga vizuri tu.

I like stories with a beautiful ending.
 
Wazazi wako Wana akili Sana. Wapo sahihi kabisa pamoja na ndugu zako. Wote hao wamakutakie mema . Ingekuwa mmoja tungeqestion . Ndugu wote wasikilize. Single mother ni wasumbufu Sana. Huyo ni mke wa mtu yaani mwenye huyo mtoto bado ana access kubwa ya kuwasiliana na single mother. Ni rahisi kupewa mzigo akihitaji . Mtoto ni connection kubwa kati ya mama na Baba. Kwani unapenda kuitwa Baba wa kambo . Mtoto hawezi kukupa full respect kwasababu anajua wewe sio Baba yake. Jinsi ya kumlea ni ngumu mno. Inajibidi kujifunga mkanda unapojitolea kumlea mtoto huyo. Mtoto akililia wembe mpe akijikata ni shauri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku mkikorofishana na huyo mtoto akikua kukutandika au kukutukana haina effect kwake. Haoni shida wewe sio Baba yake. Huwa ni mbaya Sana mtoto akijua huyu sio dingi yake. Kula mzigo usuuze roho yako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi story dada yangu.
Nakupa mfano mmoja.
Williams, baba yao kina Serena.
Alioa akakuta na watoto wa kufikia.
Kawalea wote Kama wake.
Ilipotokea shida tu wote wakamsusa.
Ujinga huu.
Nimetoa mfano huu kwani iko documented.
Huku kwetu ndio kila siku shida.
Kuna watoto wa kambo wamebakwa/kulawitiawa na baba wa kambo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Je ikiwa umekula chakula fulani then kikakudhuru, utaamua kuacha kula kabisa ili ufe maana kuna chakula fulani kilikudhuru?
 
Unaweza kuchukua mfupa wa huyo baba yake na mtoto ukawapima ili ujihakikishie. Iwapo utashindwa kuupata mfupa, ni kuwa achana na kuoa mtu na mtoto wake
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umetisha,skuwezii ,nkafukue na mifupa tena,, hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nasoma maoni ya wadau tuu mana mi pia nna mpango wa kuoa mdada mwenye mtoto lkn yy jamaa ake alishatangulia mbele ya haki
Wewe ndio unamfahamu huyo mwanamke kwahiyo ni wewe unapaswa kufanya maamuzi juu ya maisha yako.
Miluzi mingi humpoteza mbwa.

Kuwa single parent haimaanishi huyo mtu hafai, hayo ni makosa liyoyafanya lkn akachagua lililojema la kuzaa na kulea mtoto.

Alokwambia mwanamke ambae hajazaa ndio mwanamke mwema wa kuoa nani? Basi ndoa zao zingekuwa mbingu ndogo. Kwanini umhukumu mtu kana kwamba yo a saint!!!!
 
Wewe ndio unamfahamu huyo mwanamke kwahiyo ni wewe unapaswa kufanya maamuzi juu ya maisha yako.
Miluzi mingi humpoteza mbwa.

Kuwa single parent haimaanishi huyo mtu hafai, hayo ni makosa liyoyafanya lkn akachagua lililojema la kuzaa na kulea mtoto.

Alokwambia mwanamke ambae hajazaa ndio mwanamke mwema wa kuoa nani? Basi ndoa zao zingekuwa mbingu ndogo. Kwanini umhukumu mtu kana kwamba yo a saint!!!!
sawa dada,,ila hapo mwisho umenishambulia kwel kwel wkt mi sinaga tatzo na single momz asee[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emmanuel Mbasha amelieleza hilo kuwa hata yule aliyemnyanganya mke na yeye kanyanganywa kwa hiyo wote wanasota kibachella
Emmanuel Mbasha nae atakuwa na matatizo kisaikolojia au mengine zaidi. Ivi mwanamke ni flora mbasha pekee yake. Ndio maana aliachwa . Wanawake wapo wengi kabisa anashindwaje kutafuta mwanamke mwingine. Anabaki kumwongelea Flora mbasha. Hamnazo huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wanaweza kua na hoja ya msingi japo inawezekana isiwe valid kwa 100%.

1. Huko alikozaa inawezekana alikwama kwa sababu ya tabia zake ambazo wewe hataki kukuonesha (hoja ya wazazi kukupinga ni valid kabisa)

2. Huko alikozaa jamaa alizingua pengine akakataa mimba au wazazi wa jamaa walibaini jambo flani wakamkanya jamaa asimuoe, au jamaa mwenyewe kuna jambo aligundua, hapo mwanamke akaona akomae kivyake (hapa wazazi hoja yao valid na upande mwingine sio valid).

3. Asilimia kubwa ya watu waliozaa pamoja hua hawaachani kwakua kuna permanent link baina yao, hii ni risk sana kwakua muda wowote jamaa anamega mkeo, sisi wanaume sio wavumilivu unaweza kuishia jela ukigundua hili. (Wazazi wana hoja yenye mashiko).

4. Sikiliza moyo wako, ukiona kabisa huwezi kumuacha huyo mwanamke basi muoe, ukiona unaweza kumuacha hebu muache single mother tafuta mwanamke uoe uanze nae wewe mwenyewe, mambo yakiharibika huko mbele manabii hua wengi sana, utakosa kampani kuanzia kwenye familia yako mwenyewe, hii itakupa frustrations sana.

5. Akili za kuambiwa changanya na za kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasoma comment za Single Mother humu nabaki nacheka tu....Yaani mtu amepigwa mimba hakuolewa na aliyempa Mimba leo hii unataka ujiingiza kichwa kichwa, au unakutana na Mwanamke alishindwa kujenga ndoa yake au mahusiano yake akamua kufunga virago leo hii unadhani utamuweza kweli? Ninachojua Aliyewahi kula Nyama ya Binadamu hawezi acha kamwe..

Case Study, Flora Mbasha ile ndoa ya pili ya Mbwembwe nayo ipo chali ..Single Mothers are very complicated to any new relationship
Imagine umedate na mtu mkavunja amri kama ilivyo tabia ya vijana wengi. Siku unajua anaishi na mwanamke/kaoa ukaamua kusitisha mahusiano kabisa ukaendelea na maisha yako. Hii nayo imekaaje? Huhitaji kupendwa/kupenda tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom