Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Hizi story dada yangu.
Nakupa mfano mmoja.
Williams, baba yao kina Serena.
Alioa akakuta na watoto wa kufikia.
Kawalea wote Kama wake.
Ilipotokea shida tu wote wakamsusa.
Ujinga huu.
Nimetoa mfano huu kwani iko documented.
Huku kwetu ndio kila siku shida.
Kuna watoto wa kambo wamebakwa/kulawitiawa na baba wa kambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
I understand honey.
Ila nikuambie kitu, bila hata documentations kuna watu ambao wanaweza kuja kutoa ushuhuda jinsi gani wazazi wao wa kambo walivyokuwa baraka katika maisha yao.
It cannot all be negative. Stay positive.