Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mama Dickson, ebu unitag siku wakianzisha uzi wa singo dad'sKwa hiyo moja ya element ya kujitambua kwa mwanamke ni kuwa single maza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Dickson, ebu unitag siku wakianzisha uzi wa singo dad'sKwa hiyo moja ya element ya kujitambua kwa mwanamke ni kuwa single maza?
Ukishaanza tu usingo maza ni Kama laana kwa watoto wako nao wataelekea huko huko
Mkuu, ebu rudia kusoma tena komenti yakoUkishaanza tu usingo maza ni Kama laana kwa watoto wako nao wataelekea huko huko
Lebron James ana laana gani? maana amelelewa na single mother yule. leo hii ni billionaire.Ukishaanza tu usingo maza ni Kama laana kwa watoto wako nao wataelekea huko huko
Vipi Hali ya ndoa yakeLebron James ana laana gani? maana amelelewa na single mother yule. leo hii ni billionaire.
iko vizuri tu. jaribu kufuatilia.Vipi Hali ya ndoa yake
jinsia yako tafathaliSEHEMU YA KWANZA
[emoji1630] *KWANINI SINGLE MOTHERS WANAONGEZEKA DUNIANI?*
*BY MR. GODFREY EDWARD*
*Single Mothers* na mahusiano mengi kuvunjika mara kwa mara kwa maono mapana naona inasababishwa na tatizo moja kuu.
Watu wengi wanaingia kwenye *Mahusiano* na wenza ambao sio sahihi kwao.
Kitaalamu unaweza kusema *Mwanamke* anaanzisha mahusiano au anazaa mtoto na *Mwanaume* ambae sio *Soul Mate* wake.
*Soul Mate* kwa tafsiri ya kitaalamu ni mpenzi mmoja tu ambae utakuwa na hisia nae za ndani kabisa *(Deep love)* za kimwili na za kiroho *(Body and Soul connection)* na utampenda kwa moyo wako wote na kwa maisha yako yote *(Eternal love)* haijalishi mtu huyo atakuwa na hali gani ya kimaisha.
Naamini kwamba Kila binadamu aliumbwa kwa ajili ya kumpenda mtu mmoja tu.
Yani kila binadamu aliumbwa kuwa na Hisia za Mapenzi za kweli *(Deep love)* na mtu mmoja tu hapa duniani.
[emoji3519] Naamini pia Sababu kubwa inayosababisha Mahusiano mengi kutodumu au Ndoa nyingi hazidumu ni kwasababu watu wengi wapo kwenye mahusiano na watu ambao hawana hisia nao za dhati *(Deep love)*
ila wapo nao tu kwenye mahusiano kwasababu zingine ambazo hazihusiani na mapenzi ya dhati
yani sio *Soul Mates* wao.
[emoji3519] Wengi wapo kwenye mahusiano kwasababu ya,
[emoji3591] *Fedha.*
[emoji3591] *Umaarufu wa mtu husika.*
[emoji3591] *Cheo cha mtu husika.*
[emoji3591] *Muonekano wa mtu husika.*
Lakini sio kwasababu za mapenzi ya dhati kwa mtu husika *(No Deep Love).*
Kutokana na sababu hii kubwa ndio maana mahusiano mengi na ndoa nyingi zimekuwa hazidumu kwa muda mrefu.
[emoji3519] Mbaya zaidi kama *Mahusiano* yataanzishwa kwasababu ambazo *sio za mapenzi ya dhati (Not Deep love)*
Au kama utaingia kwenye mahusiano na mtu ambae haukupangwa kuwa nae *(Undestined Soul Mate)* na ukazaa nae mtoto.
Uwezekano wa kuachana ni mkubwa na hivyo *mwanamke* anaweza kubadilika kuwa *Single Mother* au kama malezi ya mtoto ataachiwa mwanaume basi na yeye atabadilika kuwa *Single Father.*
*Soul Mate* wa kweli kwa kila mtu duniani huwa ni mmoja tu na anaweza kuwa katika nchi yako au nchi nyingine.
[emoji3519] Mfano, *Soul mate* wako wa kweli anaweza kuwa ni *Mtanzania* au anaweza asiwe ni raia wa nchi yako.
Labda *Soul Mate* wako anaweza kuwa ni *Mjerumani, Mhindi, Chinnesse, American* au hata nchi nyingine ya *Afrika*.
[emoji3519] lakini haijalishi nchi anayotokea mwenza wako wa dhati uliepangiwa *(Destined Soul Mate)* huwa yupo mtu mmoja tu duniani ambae ndio aliumbwa kwa ajili yako.
[emoji3519] Kitaalamu wanasema kwamba kila binadamu atakuja kuyafurahia mapenzi ya dhati kwa asilimia kuanzia *90%* na kuendelea pale tu atakapofanikiwa kumpata *Mwanaume* alieumbwa kwa ajili yake au kumpata *Mwanamke* alieumbwa kwa ajili yake kitaalamu yani *Soul Mate.*
Huyu ndio mtu pekee ambae utakuwa umeunganishwa nae *kimwili* na *kiroho (Body and Soul Connection)* na sio rahisi kuja kutenganishwa nae kwasababu zozote za kidunia labda kifo tu ndio kiwatenganishe.
[emoji3519] Matatizo yanayoendelea kutokea kwenye jamii zetu yanayohusiana na mapenzi kama,
[emoji3591] *Mwanamke Kuzalishwa na kuachwa Single Mother*
[emoji3591] *Wapenzi kufumaniana.*
[emoji3591] *Wapenzi kuuwana kwa tamaa za mali au hasira za mapenzi.*
[emoji3591] *Wapenzi Kudharauliana kutokana na tofauti za kipato au vyeo.*
Na matatizo mengine mengi kama haya yanatokea kwasababu watu wengi wanaingiza kwenye mahusiano na watu ambao *sio Soul Mates* wao.
[emoji3519] Ukija kumpata *Soul Mate* wako hauwezi kuja,
[emoji3591] *Kumsaliti*
[emoji3591] *Kumpiga.*
[emoji3591] *Kumdharau.*
[emoji3591] *Kumuongelea vibaya asipokuwepo.*
[emoji3591] *Kumzalisha na kumuacha Single Mother.*
Na mambo mengine mabaya kama hayo kwasababu *Mapenzi ya kweli* yana nguvu sana.
[emoji3519] Ikitokea ukaja kumpata *Soul Mate* wako wa kweli hata kama ni,
[emoji3591] *Maskini.*
[emoji3591] *Sio maarufu.*
[emoji3591] *Hana mvuto Sana.*
[emoji3591] *Hana elimu kubwa.*
Bado utampenda vile vile kwasababu *Soul Mate* wako unaunganishwa nae *kiroho (Soul Connection)* na sio *kimwili* tu.
[emoji3519] Mtu ambae umempenda kwa dhati yani *Soul Mate* wako
Hakuna tatizo lolote duniani ambalo litaweza kukufanya upunguze mapenzi yako kwake.
[emoji302] Ukiona kuna mtu mwanzo ulikuwa na hisia nae alafu ghafla zile hisia kwake zikaanza kupungua au zikaisha kabisa basi fahamu huyo mtu hakuwa *Soul Mate* wako.
[emoji302] Ukiona mtu mwanzo alikuwa *Anakujali* na *Anakusikiliza* lakini ghafla amebadilika
anaanza kuwa *Mkali kwako, Anakupiga* na kukufanyia mambo mengine mabaya basi tambua mtu huyo hakuwa *Soul Mate* wako.
[emoji3519] Siku zote *Soul Mates* huwa na *Mapenzi ya dhati* tena kwa pande zote mbili ambayo ni sawa.
Yani *Mwanamke* na *Mwanaume* wote wanapendana sawa na kwa dhati *(Deep love and connection of two lovers equally).*
[emoji3519] *Mapenzi ya upande mmoja hayo sio mapenzi ya kweli.*
*Mapenzi* ambayo *Mwanamke* pekee yake ndio kampenda sana *Mwanaume* husika.
Au *Mwanaume* pekee yake ndio kampenda sana *Mwanamke* fulani hayo *sio mapenzi ya dhati (Not Deep love).*
*Deep love* huwa ni *Mapenzi ya watu wawili* tu yani *Mwanamke Mmoja* na *Mwanaume Mmoja* kupendana kwa dhati na hakuna tatizo au sababu yoyote inayoweza kuwatenganisha zaidi ya *Kifo* tu.
Na *Deep love* huwatokea wapenzi ambao ni *Soul Mates* tu.
Ingawa *Deep love* huwatokea *Soul Mates* tu lakini sio kitu rahisi sana kumpata yule ambae aliumbwa kwa ajili yako tu na wewe uliumbwa kwa ajili yake tu.
[emoji302] Lakini ukimpata *Soul Mate* wako wa kweli ndio mtu pekee ambae utafurahia nae mapenzi ya milele hapa duniani.
Na sio rahisi kukuacha uteseke pekee yako kama single mother.
wanawake wa sasa wanajitambua hawataki manyanyaso ya wanaume, wanaume wengi wana tabia ya kuona wanawake hawana uwezo kama wao hawawapi uhuru wa kuchangia mawazo yao
Hayo. Ni mashaka lakini kuolewa na mtoto kabisa umeitangazia dunia kuwa huna maadiliWewe unauhakika gani mama yako sio single mama!! Inawezekana huyo unayemuita Baba sio baba yako mzazi ila amesingiziwa mimba na mama yako hivyo nawe upo kwenye grp la mtoto kutoka kwa single mama....kabla ya kuandika kaa na ujifikirie mara kadhaa je wewe sio Mhenga kutoka kwa single mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tumeumbiwa majukumu haina shida hata awe na watoto watano watu wanakea tu kwani msosi kitu gani ishu ni baba mtoto lazima kujiridhisha kwa kina wameachanaje na mawasiliano yao yakojeMheshimiwa Napoleone wahenga walisema kuwa UKIPENDA BOGA PENDA NA UWA LAKE. Maana yake ni kuwa ikiwa mnaelewana na umethibitisha kuwa ana upendo wa dhati kwako na wewe kweli umempenda (Isije kuwa umemtamani) kusomesha mwanaye siyo shida.
Cha muhimu ni kujua baba wa mtoto yupo wapi na ana msaada gani kwa mwanaye (kama yupo), alifariki au ilikuwaje wakatengana (Usimchimbe sana hawezi kukwambia yote). Unaweza kuoa ambaye hana mtoto lakini ukakuta unasomesha mashemeji na matatizo lukuki. HIVYO NAKUSHAURI ZINGATIA UPENDO WA KWELI.
Hata Kama kagegedwa ushahidi huo huna lakini aliezaa hio ni lebo na Kuna mahusiano yasiokoma baina yawazazi wawiliHao wenyewe mnaowaita wapya ndo wameshabutuliwa mpaka papuch zipo right off!! Wametoa mimba mpaka shetani hapendi, kikubwa pambana na hali yako i mean pale unapoona moyo wako utaishi kwa aman huna budi kuusikiliza!!! Always love is blind.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ana hizo tabia za upendo na ukarimu siatazifanya kwa Ex wake piaSasa kama anazo hizo tabia kwa nini aliachika
😅😅😅😅 Leo wataelewa tuUna uhakika gani huyo aliyezaa alishatoa mimba 10 ila hiyo ya 11 ndo akazaa kwa kupenda au kutopenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila asilimia kubwa watoto wakambo unawatumikia lakini mwishowe hukugeuka na kurudi kwa baba zao nNimeshuhudia Mimi Mdingi aliwahi kuoa single mother imefika uzeeni wale watoto wasio wake ndio msaada mkubwa kwake kuliko wanae aliowazaa. Hata kabla hajafariki alitamka kua hao ndio wanae.
Akawa anawakataa watoto waliotoka viunoni mwake.
Msiwe na majibu rahisi kwenye maisha ambayo ni complex sana.
..No one knows what future may hold ..
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga