toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Another Man down, I repeat another man down....ivi kweli kabisa mkeo anakuaga anaenda kukazwa na lijamaa we unaona sawa ? why ? kwanini mke wa mtu aliwe na mtu mwingine ? Wakuu mbona mnalogwa vibaya ? daaaah... Jamaa jitafakari , huyo mwanamke kakuona anakuweza kila idara