Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Another Man down, I repeat another man down....ivi kweli kabisa mkeo anakuaga anaenda kukazwa na lijamaa we unaona sawa ? why ? kwanini mke wa mtu aliwe na mtu mwingine ? Wakuu mbona mnalogwa vibaya ? daaaah... Jamaa jitafakari , huyo mwanamke kakuona anakuweza kila idara
Hahahahah jamaa hela hana basi hata mkwara kuonesha uanaume wake napo pia chenga?
 
Tuletee mrejehe baada ya ushauri wa hapa MMU.
IKO HIVI MWANAMKE AKISHAFIKIA STAGE YA KUKUJIBU HIVYO.
Huyo ni malaya tupilia mbali ikiwezekana fujuza au kama unakaa kwake ondoka.
Next step atakupa case...
 
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"

"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?

Yaani anapata wapi kiburi cha kutoa kauli hizo,mkeo anakupa taarifa aende kufanya zinaa na jamaa kisa anamsumbua sana, huyo mama huruma,akisumbuliwa sana na mwingine je?
 
Mpaka nafikia kuumwa nafsi kwa maamuzi mabovu ya mwanaume mwenzangu,ilikuwaje ukaowa singo mama?ukute ni kwa harusi na mahari ukatuma wazee wako kwenda kujadiliana na ukalipa.....kweli???kitu watu wanachotakiwa kupewa bure wewe ukalipa?

What a shame,mimi sina cha kukushauri maana kaka zenu humu tukiwaambia wakimbieni hawa malaya mnatuona kama sisi washamba sana kwamba hatuwajui wanawake nyie ndo mnaowajua zaidi na mnajua kupenda zaidi haya hangaika na zigo lako hilo.

Ila msisitizo vijana mnaopita hapa epukeni huyu mdudu “so called singo mom”,ni anatesa na ni laana kuowa huu mkosi,kwanza jitu limeshakoga mishahawa ya wanaume wengine in short ni jalala halafu leo kijana fresh huna hata scandal moja ya kumtia bint wa mtu mimba ukakokotane na huu uchafu....kwanini?hao malaya acha wahangaike na dunia tafuta bint mstaarabu weka ndani anza maisha oneni mwenzenu hapa anaambiwa apunguze gubu uchi upo tu hauishi,,WtF......mimi ningeondoka na shingo [emoji51][emoji51][emoji51] pumbavu!
 
Mwanaume imara, msimamo na sauti ndio UANAUME...

Ukiona mwanaume unapandwa kichwani basi you re not a REAL MAN...
UnaweZa ukamtingisha mwanaume kweli kabisa hasa ukijua anakupenda...ila ukifika hatua ya kumwambia Kwani nikifanya Mara Moja na jirani ...inaisha.

Huyo mwanaume umemuona fala kabisa yaani NIWAKUTEMEA mate usoni..akalia
 
Ushapigwa limbwata ndo maana unashindwa kufanya maamuzi magumu, piga chini utakufa kwa pressure halafu mabaharia kwenye vile vikao vyetu moja ya agenda zetu tuliazimia kuto kuoa ma single mama ikiwa ni sambamba na kutosomesha mchumba..we umeanzaje?
Huyu hana sifa ya ubaharia ana sifa ya kadimbwilia au kadimbwi chekwa.
 
Niliwahi kusema kuwa single mothers wengi mentally hawako ok,majeraha ya kuachwa yanawafanya tofauti sana na wanawake ambao hawajazalishwa,ni wachache sana huwa wanajua kwanini wako vile na wanapoanza mahusiano mapya wanatakiwa wawe vipi,ila wengi ni pasua kichwa sana,akishaingia kwenye mahusiano mapya anakuwa kama yuko vitani ni full kupambana.Can you imagine mtu alikuacha baada ya kukutia ujauzito,tena inawezekana akaenda kuoa mwanamke mwingine,lkn inafika siku anakutongoza unampa,bila ya kujali una mtu kajitoa muhanga kukuchukua wewe na watoto wako akaamua kukulindia heshima,na usikute hata mitaani anatambulisha kuwa wale ni watoto wake...!
Jamani...shida Sio single mother hapa..shida Ni mwanaume.. Huyu mwanaume hata angeoa ambae Sio single mother haya yangemkuta...Hana sifa za kiume...
Msimlaumu huyo dada..mpaka.mwanamke anakutamkia Hivyo na Wewe hujui ufanyaje..unakuja JF kulalamikia single mother.....

Ndugu mleta bandiko UMESHINDWA KUSIMAMA KAMA MWANAUME....
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
😀😁😂😅😄😃😃😀😁😂😅😄😄😐😁😂
Kishindo Cha Awamu Ya Tano

Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!!

Hahaaahaa ha.

Kwa kweli umeongea kama yeye mwenyewe.

Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Ni sawa, nilikuwa nazungumzia kwa upande mwingine. Mke hadi afikie hatua ya kukutamkia maneno kama hayo ujue wewe mume ni dhaifu sana.
Hivi naanzaje kwa mfano? Mimi huyu huyu nimtamkie huyu mwamba wangu maneno kama hayo?[emoji848] Hata in my dreams nashindwa kufikiria nini kitatokea. Kimoyomoyo may be..
Mh...hayatamkiki haya maneno Jamani...hivi unaanzaje...Huyu mwanamke alianza kidogo kidogo anamtest ...mpaka hapo alipofika..anamjua huyo mwanaume anaefanya na mke wake...na mke anamwambia atampa Mara Moja..

Yaaani akimpa Mara Moja anaamisha Nini...Anamlipa labda huwa anawalisha hapo nyumbani yeye na mumewake?..

Haridhishwi na mumewake?... Yaani sababu ya kumpa Mara Moja Tena kwa kuaga kabisa...mume Wangu naenda kumpa Mara Moja..ntarudi nayo tu...

Haiingiii AKILINI
 
Kwamba.."ANAENDA KUTOA-MBWA NJE"
hatat sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Kuna Mambo ya kustaajabisha Sana...Watu wanadanganya..Huyu kaona AWE MUWAZI TU..kwani atanifanya Nini?..

Mme Wangu ndo naenda kufanywa Mara Moja usijali sitorudia Tena ni leo tu..usihofu haiishi?.. bye baby mwaa..

Mwanaume amekaa kitandani kainamisha kichwa chini...UMESIKIA WAPI?
 
We endelea kuwa nae tu,kwa siku hiz karibia kila mwanaume anagongewa na mpaka wanajua lakini hawaachani na wake zao,hata hao hapo juu wanaokushauri kuachana nae wanagongewa daily
Mkuu kweli wanagongewa..Huyo wako hua anakuaga anaenda kumpa Muuza genge nyuchi... Atarudi na nyanya na fungu la dagaaa?
 
Back
Top Bottom