HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Single madha ni mtu aliyezalishwa tu hovyo.Kumbuka ukifa ukiwa kijana hivyo mkeo atakuwa single mother!! Au hata ukiachana nae pia
Kwahiyo utataka tumuache tu kiunyonge mpk akufe bila wasamaria wema kumnusuru..
Acha ubinafsi .Single mother Ni idealistic concept tu.. vijana wengi mliochini ya miaka 30 ndio mnatupigia kelele humu.
Mtu aliyefiwa ni mjane