Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kumbuka ukifa ukiwa kijana hivyo mkeo atakuwa single mother!! Au hata ukiachana nae pia

Kwahiyo utataka tumuache tu kiunyonge mpk akufe bila wasamaria wema kumnusuru..

Acha ubinafsi .Single mother Ni idealistic concept tu.. vijana wengi mliochini ya miaka 30 ndio mnatupigia kelele humu.
Single madha ni mtu aliyezalishwa tu hovyo.

Mtu aliyefiwa ni mjane
 
Uliwahi kuona wapi MTU Hana Pesa alafu akajiamini?
Labda awe kichaa
JamiiForums1587348946.gif
 
Hiyo mbona iko wazi, wala haihitaji kuwa na Akili nyingi au kusomea mpaka PhD ili kuielewa.

Wanawake ni tofauti na Sisi wanaume.
Sisi wanaume tunapooa tunaoa Kwa sababu tunayemuoa tunampenda hasa.
Lakini Wanawake anaweza kuolewa Kwa sababu mazingira na muda umemlazimisha kufanya hivyo.
Anaweza asiwe mwanaume WA ndoto zake lakini afanyaje.

Kijana anaenda kuoa Mwanamke aliyezalishwa na mwanaume wa hadhi na level ya juu alafu hapohapo analazimisha Pasiwepo mawasiliano [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka unajiuliza huyu kijana kalogwa au?
Mfano mzuri ni Zari the boss lady.
Kazaa na Diamond wameachana lakini kama vile baada ya Diamond hajawa na mahusiano tena.

Ana mahusiano lakini baba watoto akienda south vi ben 10 vinaambiwa kaendi mbaliii. Mpaka simba aondoke ndio utaona sasa viben 10 vinarudiwa.
 
😂😂😂
Vijana watakuambia hamueleweki Wakati Matendo yenu yapo dhahiri kabisa
 
Mtu huna pesa umefika mlimani city au hoteli nzuri unajiamini vipi?
Mtu haujavaa nguo nzuri kisa hauna pesa utajiamini vipi?
Mtu umeenda Kanisani, kuna harambee Watu watoe laki mojamoja alafu mfukoni Una elfu tatu ya nauli, utajiamini vipi?

Umeenda Hospital, huna pesa utajiamini vipi?

Unajua hawa Vijana WA sasa Wanafikiri wanaota ndoto
 
Wanasema kinga zinawasha eti
Nilichojifunza akili fupi za wanawake huwa wanageuza kama mtaji akizaa na mwanaume, pia wengine wanategesha mimba kumjaribu mwanaume anareact vp kama positive basi anaachia mimba inaingia baadae mwanaume maisha yanabadilika mke anaamua kumtenga mme, wengine wanaamua kuwabambikiza mimba kila mwanaume aliyetembea nae ndani ya miezi 2 kila mwanaume anakuwa na kadi yake ya Kliniki kumbuka siku hizi kadi zinauzwa stationary 200 tu kwa hiyo wanaume wanapangwa, mtoto akizaliwa hapo kadri mtoto anavyokuwa wazazi wanaanza kupungua wanakutana na mtoto ana sura ngumu pua kama ngumi baba pua ndogo mama pua ndogo madingi wanaanza kujichomoa anabaki mwenye mtoto unakuta ni bodaboda hana nyuma wala mbele single mother anaanza vilio
 
Hii inatokea mara nyingi sana, mwisho wa siku wanabaki na majuto.
 
Nimeshuhudia wanawake wanawabambikia watoto hata wagumba ambao hawana uwezo wa kupachika mimba kwa vile mwamba ana pesa pasi anasakiziwa mimba baadae watoto lakini jamaa hana uwezo wa kutunga mimba
 
Mmelisahau kundi linalozalisha na kunyosha kidole kwa single maza kila kukicha.

Hawa wanaume wanaozalisha kwanini warudi kupasha viporo?. Tatizo ni wanaume wenyewe siyo single mothers

Nashauri wanaume msishawishi single maza mlio zaa nao kupasha viporo, mnaharibu ndoa zao na kuumiza wanaume wenzenu.
 
Hii inatokea mara nyingi sana, mwisho wa siku wanabaki na majuto.
Mwisho wa siku tunalaumiwa wanaume wote kumbe ni uzembe wa mwanamke kampanulia mapaja bodaboda hana uwezo wa kumlea kwa vile tu anamsafirisha bure na anampeleka kwa wanaume huko kisha anamfuata bodaboda nae anakula makombo kimoko mwisho wa siku mimba
 
Nachotaka kusema wanawake wasipende kuzaa zaa hovyo na huu mradi wa reli unaacha vilio kwa wanawake wapenda kuzaa zaa kwamba maisha wameyapatia jamaa akifukuzwa kazi line ya simu anatupa, mturuki karudishwa kwao dada hata email ya mturuki hana, kuna vitoto vingi mtaani vya kituruki, kichina na wabongo
 
Mtu huna pesa umefika mlimani city au hoteli nzuri unajiamini vipi?
Mtu haujavaa nguo nzuri kisa hauna pesa utajiamini vipi?
Mtu umeenda Kanisani, kuna harambee Watu watoe laki mojamoja alafu mfukoni Una elfu tatu ya nauli, utajiamini vipi?

Umeenda Hospital, huna pesa utajiamini vipi?

Unajua hawa Vijana WA sasa Wanafikiri wanaota ndoto
Na ushauri huu wa bure hawataki kuchukua.
 
Back
Top Bottom