Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nondo zako Robert Heriel Mtibeli zimesimama sana,mimi nazipa rank ya 5 Star...
Wavulana ndio wana tabia ya kuogopa lakini Wanaume hatunaga huo upuuzi!!!
Sawa mkuu, nyuma geuka mbele tembea
Wanaume wana roho mbaya na ubinafsi.
Kuna SINGLE MOTHER tu hakuna kitu kinaitwa SINGLE FATHER
Kuna vitu kwaajiri ya mwanamke tu na Kuna vitu kwaajiri ya mwanaume tu, hiki ni moja ya kitu kwaajiri ya wanawake
Na hakuna binadamu mwenye akili timamu ,,,kila binadamu ana uwendawazimu wake,,, wewe uoga ndio uwendawazimu wako,,,na ambae si muoga(jasiri) hiyo kutokuwa muoga na kuwa na ujasiri ndio uwendawazimu wake pia!!!Ili uogope itakupasa uwe na Akili timamu.
Kisaikolojia MTU mwendawazimu haogopi kuchukua tahadhari
Yes tatizo la wanawake faida za kuwa wanawake wanazitaka na faida za mwanaume kuwa mwanaune wanazitaka tena mbona sisi hatulalamiki mbona mahari na sisi wanaume tusipewe na wanawake nkPia hakuna single father Kwa mazingira na utamaduni WA kiafrika.
Wanaofuata mfumo wa kizungu ndio kuna hayo ya single mother na Single father.
Yes tatizo la wanawake faida za kuwa wanawake wanazitaka na faida za mwanaume kuwa mwanaune wanazitaka tena mbona sisi hatulalamiki mbona mahari na sisi wanaume tusipewe na wanawake nk
Single mother ni shida. Mimi huwa siwaonei huruma kwasababu wengi wao utakuta walikuwa wanafunzi ila kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi wakanasa mimba. Wengine waliwakataa WASUKUMA wakakimbilia masharobaro na kuishia kutelekezwa. Na kuna baadhi jeuri na kiburi wakashindwa kulinda ndoa zao na kuishia kuzivunja. Ni single mother wachache sana chini ya jua wanaweza wasiwe na tatizo wakiolewa na mtu mwingine. Na katika hao wachache utakuta wapo huko Cambodia, Uzbekistan au Nepal... kwa Tanzania ni ngumu kupata single mother mwenye akili timamu.
Na hakuna binadamu mwenye akili timamu ,,,kila binadamu ana uwendawazimu wake,,, wewe uoga ndio uwendawazimu wako,,,na ambae si muoga(jasiri) hiyo kutokuwa muoga na kuwa na ujasiri ndio uwendawazimu wake pia!!!
Hilo kundi halifai katika jamii maana ndo linazalisha mashoga
Umekuna kunako..soma huu mkasa ulionikuta itakusaidia
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.
Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.
Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.
Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.
Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.
Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.
Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.
Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.
Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.
Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.
Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.
1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma
2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?
Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous
asanteNoma Sana Mkuu
Pole Sana