Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ukisogea hapo ni hatari majukum yatakuangukia kma mvua
Unaogopa majukumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisogea hapo ni hatari majukum yatakuangukia kma mvua
Oya mwamba, kama tulivyo kubaliana wanaume single mother ni watu wa kuwa kwepa sana pamoja na kizazi chao.Nimetokea kuona live bila chenga single maza walioolewa na ambao hawana ndoa wanamaindi sana wakijua watoto wao wa kiume wana mahusiano ama wanataka kuoa single mother.
Kwanini ipo hivi wakati hata wao wapo mstari wa mbele kwenye harakati za kupigania haki za single mothers kuolewa?
Single mother ukimuoa jua umeoa mke wa mtu na muda wowote mwenye zigo lake anakuja kuchukuaYaani unasema Single Maza halafu huyo huyo kaolewa? Mbona hueleweki hakuna Single Maza aliyeolewa akishaolewa huyo sio Single Maza Tena pengine hujui maana ya SINGLE MAZA
Kabisa Hilo Ni Gari la kukodisha muda wowote mwenye Gari analichukuaSingle mother ukimuoa jua umeoa mke wa mtu na muda wowote mwenye zigo lake anakuja kuchukua
🎤Wanaume mmekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Utafiti nimefanyia mtaani, tena Kwa marafiki zangu wa karibu kabisaAcha uongo!!!!
Huo utafiki wa 9/10 men hawataki kuoa Single Mother umeufanya wapi????
Idadi ya singo maza ni kubwa sana Usisahau pia wanawake wengi age under 25 wapo katika machaguzi awe, mrefu awe na hela ,mwanaume asiyejua kuvaa simtaki kipindi hichi mnakuwa na market kubwa sana mnajaa dharau na kiburi matokeo yake ndio hayo mnakutana na wahuni kuzalishwa na kuachwa mkifika miaka 31 tunawaona hata hapa jf tena vigezo vikiwa vimepungua kabisaWanaume mmekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua