Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Nimetokea kuona live bila chenga single maza walioolewa na ambao hawana ndoa wanamaindi sana wakijua watoto wao wa kiume wana mahusiano ama wanataka kuoa single mother.

Kwanini ipo hivi wakati hata wao wapo mstari wa mbele kwenye harakati za kupigania haki za single mothers kuolewa?
Oya mwamba, kama tulivyo kubaliana wanaume single mother ni watu wa kuwa kwepa sana pamoja na kizazi chao.

Ila hukatazwi kuteleza na kusepa
 
Yaani unasema Single Maza halafu huyo huyo kaolewa? Mbona hueleweki hakuna Single Maza aliyeolewa akishaolewa huyo sio Single Maza Tena pengine hujui maana ya SINGLE MAZA
Single mother ukimuoa jua umeoa mke wa mtu na muda wowote mwenye zigo lake anakuja kuchukua
 
Bonjour.

Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother. [emoji2]

Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.

Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.

Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.

At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
 
Hata wewe una watoto.umezalisha kwa hao unawasema

Kwa hiyo mtawapa mimba mnaenda kutafuta wasiokuwa na watoto

Oeni wanne wanne kama hamuwezi hata wawili

Tatizo la vijana ni masikini jeuri hata hela ya kodi wengine hawana, ugomvi na mwenye nyumba sasa mtaacha kukataa ndoa kiaina kweli [emoji1]
 
Wananiboa wengi wao wanawalisha watoto sumu na uongo juu ya baba zao....fool!

Hawawezi ku distinguish kati ya ugomvi wao na mahusiano baina ya baba na mtoto

Usitoe hukmu scenario ya single maza yeyote isipokuwa umejiridhisha na maelezo kutoka pande zote mbili
 
Wanaume mmekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...

Kifupi wanaume wamepungua
Idadi ya singo maza ni kubwa sana Usisahau pia wanawake wengi age under 25 wapo katika machaguzi awe, mrefu awe na hela ,mwanaume asiyejua kuvaa simtaki kipindi hichi mnakuwa na market kubwa sana mnajaa dharau na kiburi matokeo yake ndio hayo mnakutana na wahuni kuzalishwa na kuachwa mkifika miaka 31 tunawaona hata hapa jf tena vigezo vikiwa vimepungua kabisa
 
 
Back
Top Bottom