Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sioni haja ya salamu

Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.

Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.

Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Hehehehe
Sasa ikawaje mkuu
 
Ukipenda single mother unatakiwa kuwa mwanaume haswa na uwe unajiweza otherwise atakupasua. Mimba mfululizo ndo dawa yao. Usiwe naye kama hutaki watoto au kama hataki.

1. Mzalishe chap chap watoto ikiwezekana si chini ya 3. Wa kwanza na wa pili wafuatane, wa tatu na 4 waje baadae kama utapenda.

2. Lea watoto wote kwa usawa.

As long as unamtunza yeye na watoto atakuabudu maana anajua hakuna wa kutunza watoto 3 wa baba mwingine, unless usimtunze ndo anaweza kuzingua au awe malaya tu.
Hii formula haipo,iliyopo ni KAA MBALI na Single Mama.
 
I think hawa single moms tunawaonea coz sie wanaume ndio tumewafanya wawe single mothers ..na hua wanapambana kwa ajili ya watoto wao
Usitegemee akupe mapenzi yote kuliko anavompa mwanae maana wewe waeza msaliliti ukaoa kwengine ila huyo mtoto ni wake milele
Mleta mada tuliza wenge
 
Mimi mwenyewe niliambiwa humu humu ila sikusikia sema nilikuja kustuka mapema nikapiga chini.
Shida yao kubwa ni kuwa lazima wapashe kipolo nasisistiza hiyo ni lazima
 
Mike chali one two.....

Liman chali

One man down ..... ova
 
Sioni haja ya salamu

Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.

Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.

Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Tupe kisa chako
 
Back
Top Bottom