Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Maneno Kuntu sana haya.[emoji122]Ukiona mfupa umemshinda FISI... ujue hakuna atakae uweza...ukiona mwanaume mwenzako kashindwa kumvumilia usimuone fala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno Kuntu sana haya.[emoji122]Ukiona mfupa umemshinda FISI... ujue hakuna atakae uweza...ukiona mwanaume mwenzako kashindwa kumvumilia usimuone fala
HeheheheSioni haja ya salamu
Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.
Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Hii formula haipo,iliyopo ni KAA MBALI na Single Mama.Ukipenda single mother unatakiwa kuwa mwanaume haswa na uwe unajiweza otherwise atakupasua. Mimba mfululizo ndo dawa yao. Usiwe naye kama hutaki watoto au kama hataki.
1. Mzalishe chap chap watoto ikiwezekana si chini ya 3. Wa kwanza na wa pili wafuatane, wa tatu na 4 waje baadae kama utapenda.
2. Lea watoto wote kwa usawa.
As long as unamtunza yeye na watoto atakuabudu maana anajua hakuna wa kutunza watoto 3 wa baba mwingine, unless usimtunze ndo anaweza kuzingua au awe malaya tu.
Ni kweli,wapo wanaume wasumbufu,binafsi nawakubali sana single momsRafiki, lkn kuna wanaume nao wazinguaji mwanamke anaweza akachoka akaamua kuondoka. Sio mara zote wanawake tuko na makosa.
Hata bikra usipomzalisha atazaa tu bila weweHii formula haipo,iliyopo ni KAA MBALI na Single Mama.
📌📌📌📌📌📌Lingine...wengine lazima waliwe na waliowazalisha
Ndo maana unamwombea, Mungu akulinde kipenzi🙏📌📌📌📌📌📌
Tatizo lao kubwa ni hili. Lazima tu atatombwer na baby daddy wake. Yaani ni lazima hata ufanyeje 🚮🚮🚮
Tupe mrejesho mkuuUkweli single maza hawafai katika jamii single maza ni poison
ninyi watuKumekucha kumekuchaa
Malizia ... chenye ncha Kali....Umepigwa na kitu kizito kichwani?.
Siku zote asiyesikia la mkuu huvunjika mguu
Tupe kisa chakoSioni haja ya salamu