Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mwisho kwa vile wote waliokutana hapo ni watu wa hovyo ,huyo mke na mume haswa kijana ndo mpuuzi kwa kuzalisha mtoto wa waty.Kuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi,
JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype
Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia
Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza
Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao tejy do appreciate uwepo wa single mother
KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
HUNA AKILI KABISA! BILA SHAKA NI KIJANA WA HOVYO JOBLESS AMBAYE UKO KWENYE 20's NA HUJITAMBUI WALA NINIMsimamo ni ule ule KATAA SINGLE MAZA.
Single Maza ni Nuksi, Mkosi, Gundu na Laana.
Single mother wengi akili zao kama ccmKuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi,
JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype
Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia
Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza
Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao they do appreciate uwepo wa single mother
KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
Ushawahi kuwa na relationship na single mother a.k.a mama juniorHUNA AKILI KABISA! BILA SHAKA NI KIJANA WA HOVYO JOBLESS AMBAYE UKO KWENYE 20's NA HUJITAMBUI WALA NINI
Bora tuwe wote bila bila maana hawaachanagi ujue...utasikia naenda kumuona mtoto kumbe anaenda kula mbususu
Kuwa na dada,mama,ndugu wa kike ambaye ni Singo Maza hakubadili dhima ya Ujinga wa mwanamke!.Kuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi,
JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype
Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia
Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza
Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao they do appreciate uwepo wa single mother
KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
Sasa hiyo Mithali nafkiri ifanyiwe tathmini irekebishwe...sasa mtu azini na mwanaume au mwanamke asiwe na akili, aende akazini na Mbwa au komba?! [emoji848][emoji848][emoji848]
Hawana akili wanastiliwa alafu bado viburi,jeuri,hawana misimamo,tamaa za kipuuzi,yaani shida tupu hawa masingo maza kama hujawah kuish nao utaona wanaonewa kabisa Ila kaaa nao utapata joto la jiwe ukitaka kuoa singo maza kabur la mzaz mwenzie ulione Na hati ya kifo ya jina lake kabisa hapo kidogo unaweza ukaish kwa aman vingnevyo maisha hapoNa wengine ni wazazi watarajiwa wa masingle mother wa badae sjui kwann tunaropoka wakati kesho zetu hatuzijui
Enzi za ujanaUshawahi kuwa na relationship na single mother a.k.a mama junior
Case closedSio mwisho kwa vile wote waliokutana hapo ni watu wa hovyo ,huyo mke na mume haswa kijana ndo mpuuzi kwa kuzalisha mtoto wa waty.
Ila mwanamke ni mjinga kwa vile kadanganywa na mpuuzi ambaye hana malengo nae.
Haliwez kuisha mpaka wafikishe ujumbe kwa wenzao huko kitaa wabadilike wanaboa sana wanawatesa sana vijana wenye mioyo midogo wakiwaoteaHili neno "chup" umelirudia maranyigi sana adi nikajikuta nawaza mbali sana mkuu....😜
Ila sijui hii vita ya "singo mamaz" itakuja kuisha lini haoa ndani.
Basi minaona komenti ziwe fupfupi kabla muda hauja fika...🙂
Wewe uliwezaje?Kuwa na dada,mama,ndugu wa kike ambaye ni Singo Maza hakubadili dhima ya Ujinga wa mwanamke!.
Jibu Swali.
UNAWEZAJE KUMVULIA CHUPI MWANAUME AMBAYE SI MUMEO?
Acha blah blah jibu swali!Wewe uliwezaje?
Kumbuka hakuna mwenye ticket ya uzinzi
Unatufokea SasaWanafanya mambo ya ajabu mfano mtu hata kwenu hajakuja kujitambulisha unamvulia chupi🙄.
Mtu kwenu hajulikani kabisa eti unajifanya unaenda kuishi kwake kama sio ujinga ni nn?
Wanawake ni hovyo wengi unakuta mzazi anamlea mpaka miaka 20 tuseme ,halafu anakuja mtu hamjui anaanza kumdaganya mara atamuoa basi anaacha kusikiliza wazazi wake anamfuata huyo jamaa na kumtii.
Sio kilema ila mnaendeleza kizazi cha hovyo na ubinafsi,kiufupi nina dada wawili hakuna single mothers wote wameolewa.Unatufokea Sasa
Matatizo ya ujana Jamani sio kilakitu tunakumbuka kutafakari wengi wetu ukiuliza tupewe nafas ipi ya kurekebisha makosa tutachagua turudi nyuma tusahihishe makosa ya ujanani,kuwa single mother sio kilema ni makosa tu ya ujana na sioni kama ni sawa kuwahukumu Kwa makosayao na hata ambao sio single mother sio wajanja sana ni neema za Mungu kuwaepushia na makosa hayo ya ujanani