Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hili neno "chup" umelirudia maranyigi sana adi nikajikuta nawaza mbali sana mkuu....😜
Ila sijui hii vita ya "singo mamaz" itakuja kuisha lini haoa ndani.
Basi minaona komenti ziwe fupfupi kabla muda hauja fika...🙂
 
Kuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi,
JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype
Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia

Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza

Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao tejy do appreciate uwepo wa single mother

KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
Sio mwisho kwa vile wote waliokutana hapo ni watu wa hovyo ,huyo mke na mume haswa kijana ndo mpuuzi kwa kuzalisha mtoto wa waty.

Ila mwanamke ni mjinga kwa vile kadanganywa na mpuuzi ambaye hana malengo nae.
 
Kuwa single Maza sio mwisho wa maisha nakwambia wewe singo madha uliyesoma thread hii na ukaumia nasfi,
JF Kila mtu mjuaji Kila mtu anajua kutype
Ukiwafatilia nyuma ya keyboard Wana dada zao singo Maza,shangazi zao mama zao wadogo hata watoto wao pia

Na huenda nao pia wametokea kwenye mizizi hiyo ya usingo Maza na wanekula/kusomeshwa na singo Maza

Jeuri tu zinawatoka humu jamvini but deep down kwenye mioyo yao they do appreciate uwepo wa single mother

KAMA UNA POVU RUKSA MAANA NTADEKIA
Single mother wengi akili zao kama ccm
 
Kuwa na dada,mama,ndugu wa kike ambaye ni Singo Maza hakubadili dhima ya Ujinga wa mwanamke!.

Jibu Swali.

UNAWEZAJE KUMVULIA CHUPI MWANAUME AMBAYE SI MUMEO?
 
Na wengine ni wazazi watarajiwa wa masingle mother wa badae sjui kwann tunaropoka wakati kesho zetu hatuzijui
Hawana akili wanastiliwa alafu bado viburi,jeuri,hawana misimamo,tamaa za kipuuzi,yaani shida tupu hawa masingo maza kama hujawah kuish nao utaona wanaonewa kabisa Ila kaaa nao utapata joto la jiwe ukitaka kuoa singo maza kabur la mzaz mwenzie ulione Na hati ya kifo ya jina lake kabisa hapo kidogo unaweza ukaish kwa aman vingnevyo maisha hapo
 
Hili neno "chup" umelirudia maranyigi sana adi nikajikuta nawaza mbali sana mkuu....😜
Ila sijui hii vita ya "singo mamaz" itakuja kuisha lini haoa ndani.
Basi minaona komenti ziwe fupfupi kabla muda hauja fika...🙂
Haliwez kuisha mpaka wafikishe ujumbe kwa wenzao huko kitaa wabadilike wanaboa sana wanawatesa sana vijana wenye mioyo midogo wakiwaotea
 
Wanafanya mambo ya ajabu mfano mtu hata kwenu hajakuja kujitambulisha unamvulia chupi🙄.
Mtu kwenu hajulikani kabisa eti unajifanya unaenda kuishi kwake kama sio ujinga ni nn?
Unatufokea Sasa
Matatizo ya ujana Jamani sio kilakitu tunakumbuka kutafakari wengi wetu ukiuliza tupewe nafas ipi ya kurekebisha makosa tutachagua turudi nyuma tusahihishe makosa ya ujanani,kuwa single mother sio kilema ni makosa tu ya ujana na sioni kama ni sawa kuwahukumu Kwa makosayao na hata ambao sio single mother sio wajanja sana ni neema za Mungu kuwaepushia na makosa hayo ya ujanani
 
Wanawake ni hovyo wengi unakuta mzazi anamlea mpaka miaka 20 tuseme ,halafu anakuja mtu hamjui anaanza kumdaganya mara atamuoa basi anaacha kusikiliza wazazi wake anamfuata huyo jamaa na kumtii.

Tusiwasikilize kwaiyo mbona hamjui mnataka nini

Kwani kwenye mahusiano si ndio pa kuchunguzana
 
Unatufokea Sasa
Matatizo ya ujana Jamani sio kilakitu tunakumbuka kutafakari wengi wetu ukiuliza tupewe nafas ipi ya kurekebisha makosa tutachagua turudi nyuma tusahihishe makosa ya ujanani,kuwa single mother sio kilema ni makosa tu ya ujana na sioni kama ni sawa kuwahukumu Kwa makosayao na hata ambao sio single mother sio wajanja sana ni neema za Mungu kuwaepushia na makosa hayo ya ujanani
Sio kilema ila mnaendeleza kizazi cha hovyo na ubinafsi,kiufupi nina dada wawili hakuna single mothers wote wameolewa.

Moja ya vitu ni kwamba hao watoto wenu mnawakatili kwa kuwakosesha baadhi ya haki zao za msingi kama malezi ya wazazi wote ,halafu mnaona ni maisha tu.

Hakuna mwanamke katulia akapigwa mimba na mzembe ,kuna wanawake kibao kwao watu wengi wanakuja kuwaposa kwa vile wanajielewa .
 
Back
Top Bottom