Mtoa mada anasema kwamba wanaume wanaoa singo mamaz ni washamba, wameruka steji za maisha na hawajiamini.

Ikitokea mmeshindwa kuendelea na mahusiano kwa sababu yeyote;

- Je ni haramu mwanamke kupata mpenzi, ila halali kwa mwaume?

- Kwanini ni sahihi kuwashutumu singo mamaz peke yao, vipi waliosababisha kufikia huo usingo?

- Kwanini sio ushamba na kutokujiamini kwa mwanamke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto?

Umejipangaje labda Ikitokea Mtoto, Dada, Mdogo wako akatelekezwa au kuachwa yeye na mtoto wake. utamshauri nini?

Je bado utakuwa na msimamo huu ulio nao sasa?
 
Mleta mada anagalia hawa tunaotatajia kuoa,wengi wametumika sana tena wengine wamevunjiwa heshima kwakuliwa mbele na nyuma,sijui kwanini umeamua kuwapa thamani wanawake hawa ambao vyuoni wanachoropoa mimba kibao na tutazidi kushuhudia wakichoropoa kwasababu ya tamko la Magu.

Kiufupi mwanamke anaweza akafanya mapenzi maramoja na akapata ujauzitp na mwingine akafanya mata elfu moja asipate au akapata halafu akazitoa kadri anavyoweza na mwisho wa siku yule atakayeamua kuzaa akaonekana katumija sana kumbe siyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii inathibitisha kwamba mwanamke ni kiumbe cha thamani sana
 
Aiseee
 
Mtoa mada kama huu ujumbe umeulenga kwa mtu... Basi sawa, NIMEKUELEWA!

Ila kama unatoa mtazamo, bhasi tusioe hata hawa wasio na BIKIRA...
Twende zetu UNGUJA tukaoe mabikira wasio na RINDA...
 
Watu wenye maneno kama haya unaweza ukakuta yeye mwenyewe kalelewa na baba wa kufikia yani mama yake nae alikuwa muhanga wa hili la single mama
ukikuwa utaacha ujinga huu unao ongea!!!!!!
 
Nimemuelewa sana mtoa mada. Kuna complications za kuoa mwanamke alokwisha zaa, kwa maana kwamba bado atawasiliana tu na baba wa mtoto even if mtakua pamoja, Mtoto ataendelea kuwakutanisha na kama ujuavyo wanawake walivyo dhaifu ni rahisi pia kukumbushia. Pia kuna complication za malezi ya mtoto tuwe wakweli guyz huwezi mpa malezi yale mtoto wa mwanaume mwenzio akati unajua kabisaa baba yake yupo somewhere anakula bata wewe uhenyeke na maskuli fiz.
Mtoa mada kaona mbali kwa nini uingie kwenye makomplikesheni hayo akati kuna ryt desisheni ya kufanya?
Acha masingo maza waolewe na masingo faz.
 
Umesahau sababu moja kubwa kuliko zote. Kuna kupenda ndugu yangu....
Ngoja nikae kimya mimi.
 
Unajua ungali bado unaishi usiongee mabaya, hapo ulipo hujui kesho yako. Wengine wamekuwa hivyo kutokana na mazingira waliyokutana nayo. Wengine walifiwa na kubaki wakilea watoto peke yao. Kuna mambo mengi mtu amepitia mpaka akawa hivyo, usipopitia wewe wanaweza kupitia watoto wako. Usimtukane mkunga na uzazi bado ungalipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotoa mada unatakiwa uwe na busara ,kumbuka humu mpo watu tofauti wapo ambao mama zao /baba zao ni single parent kabla ya kuolewa/kuoa na kuanzisha familia na maisha yakaenda na ukute wewe ukaoa mtoto alielelewa katika usingle so hayo ni maisha tu, waafrika kuendelea bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mtu chake apendacho hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani". Mapenzi hayana kificho yaingiapo moyoni mwangu, mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo-DDC Mlimami park, wana Sikinde ngoma ya ukae.

Kila mtu na mapenzi yake, kama single mum ana mvuto tabu ni nini?, kukosea si kosa, bali kosa ni kurudia kosa. Pengine alichagua hovyo mara ya kwanza, sasa hivi amechagua vizuri.
 
Ke mwenye kujitambua hawezi kukubebesha matatizo ya mwanae hata siku moja wewe ukijisikia utasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wakaoe bikira za kutengenezwa baada ya mwezi mmoja hakuna ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…