Mabibi wanajulikana. Na ungekuwa bibi tayari dunia ingeshakubadili kauli. Ila wewe bado una bikra ya tabia, ikitoka hiyo sasa ndio tutazungumza lugha moja....Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Acha uongo mpenzi mbona hivyo?!Hahaha kwangu kufanya mapenzi siyo starehe hivyo sihitaji
Hahaaa mabibi wanajulikanaje jamani. Huo ndio ukweli.Mabibi wanajulikana. Na ungekuwa bibi tayari dunia ingeshakubadili kauli. Ila wewe bado una bikra ya tabia, ikitoka hiyo sasa ndio tutazungumza lugha moja....
Acha uongo mpenzi mbona hivyo?!
Tuna wewe hatukuachi.Hahaaa mabibi wanajulikanaje jamani. Huo ndio ukweli.
Sawa niache tu na tabia yangu
umewahi kuishi na single mother?Single mother ni kichefu chefu
Ndio nimewahi,ni kichefu chefuumewahi kuishi na single mother?
Wakat tunaagana,akawa ananishkuru kua nmempa burudan sana leo,pia kipind niko nae frm mchana,alikua anapokea sana phone calls,akiongea ni mambo ya shule ya mwanae,amerudishwa home,alikua anapigiwa sim na bro wake kua atamrushia chochote kitu ajazie ada,..sasa nkatafakar ,nkasema mmh huu mzigo nsije bebeshwa mie ,..yan tokea juz naskilizia hko kizinga,ila bado sjapigwa,.naskilizia though..ingawa tunawasiliana kama kawaida tokea juz na hajadokeza hzo mambo za vizinga,sasa sjui ni uoga wangu tuu.maana
Ndo uzuri wa Jf kibabu anajifanya kazaliwa jana, mdogo naye anajifanya kibabu maisha yanasonga. Jf raha sana.Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Ubibi gani ulisema we bikra and you said not yet done. Wasn't you!?Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Upendo wa mwanamke upo kwenye Mali na Watoto bhasiii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] So jikaze mkuuAnakuandaa kisaikolojia kukabiliana na changamoto za kusomesha dogo.....
But maisha ni kitu tofauti. Nimekuwa na wake zangu wawili nimezaa nao....but wana vitu flani flani vya kupenda mali na watoto zaidi kuliko mimi....ninawaza kutafuta single mum atakayeshughulika na kunipa raha tu nizeeke vizuri
Ukishakuwa unahishi ukiongozwa na hofu ya kugongewa hata ukichukua soda mpya ukafungua wewe wengine lazima wakuibie wainywe.Duh. Sasa tusipowaoa wataolewa na nani?! Tuache roho mbaya wanaume. Fumba macho weka ndani
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuna wewe hatukuachi.
Wake wawili wanakushinda tu?Anakuandaa kisaikolojia kukabiliana na changamoto za kusomesha dogo.....
But maisha ni kitu tofauti. Nimekuwa na wake zangu wawili nimezaa nao....but wana vitu flani flani vya kupenda mali na watoto zaidi kuliko mimi....ninawaza kutafuta single mum atakayeshughulika na kunipa raha tu nizeeke vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo uzuri wa Jf kibabu anajifanya kazaliwa jana, mdogo naye anajifanya kibabu maisha yanasonga. Jf raha sana.
Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
I'm kibibi old enough nazeeka na utamu wwangu, umri wangu wakuwa na wajukuu read between linesUbibi gani ulisema we bikra and you said not yet done. Wasn't you!?