Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Mabibi wanajulikana. Na ungekuwa bibi tayari dunia ingeshakubadili kauli. Ila wewe bado una bikra ya tabia, ikitoka hiyo sasa ndio tutazungumza lugha moja....
 
Hahaaa mabibi wanajulikanaje jamani. Huo ndio ukweli.
Sawa niache tu na tabia yangu
 
Nisawa na kuanza mpira huku umefungwa 1-0 wakati hata mchezo wenyewe ujaanza
 
Wakat tunaagana,akawa ananishkuru kua nmempa burudan sana leo,pia kipind niko nae frm mchana,alikua anapokea sana phone calls,akiongea ni mambo ya shule ya mwanae,amerudishwa home,alikua anapigiwa sim na bro wake kua atamrushia chochote kitu ajazie ada,..sasa nkatafakar ,nkasema mmh huu mzigo nsije bebeshwa mie ,..yan tokea juz naskilizia hko kizinga,ila bado sjapigwa,.naskilizia though..ingawa tunawasiliana kama kawaida tokea juz na hajadokeza hzo mambo za vizinga,sasa sjui ni uoga wangu tuu.maana

Anakuandaa kisaikolojia kukabiliana na changamoto za kusomesha dogo.....

But maisha ni kitu tofauti. Nimekuwa na wake zangu wawili nimezaa nao....but wana vitu flani flani vya kupenda mali na watoto zaidi kuliko mimi....ninawaza kutafuta single mum atakayeshughulika na kunipa raha tu nizeeke vizuri
 
Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Ndo uzuri wa Jf kibabu anajifanya kazaliwa jana, mdogo naye anajifanya kibabu maisha yanasonga. Jf raha sana.

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Duh. Sasa tusipowaoa wataolewa na nani?! Tuache roho mbaya wanaume. Fumba macho weka ndani
 
Hao wanawake mnaowalipia labda ni wa sayari nyingine maana najua wanawake wanachakarika Sana hivo vicent vyenu havitoshi kabisa.
Mimi naelekea kwenye ubibi na Nina wajukuu
Ubibi gani ulisema we bikra and you said not yet done. Wasn't you!?
 
Anakuandaa kisaikolojia kukabiliana na changamoto za kusomesha dogo.....

But maisha ni kitu tofauti. Nimekuwa na wake zangu wawili nimezaa nao....but wana vitu flani flani vya kupenda mali na watoto zaidi kuliko mimi....ninawaza kutafuta single mum atakayeshughulika na kunipa raha tu nizeeke vizuri
Upendo wa mwanamke upo kwenye Mali na Watoto bhasiii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] So jikaze mkuu
 
Duh. Sasa tusipowaoa wataolewa na nani?! Tuache roho mbaya wanaume. Fumba macho weka ndani
Ukishakuwa unahishi ukiongozwa na hofu ya kugongewa hata ukichukua soda mpya ukafungua wewe wengine lazima wakuibie wainywe.
 
Anakuandaa kisaikolojia kukabiliana na changamoto za kusomesha dogo.....

But maisha ni kitu tofauti. Nimekuwa na wake zangu wawili nimezaa nao....but wana vitu flani flani vya kupenda mali na watoto zaidi kuliko mimi....ninawaza kutafuta single mum atakayeshughulika na kunipa raha tu nizeeke vizuri
Wake wawili wanakushinda tu?
Vile hujatulia inaongeza na mwingine si ndo utavaa boxa kichwani
 
Back
Top Bottom