Kwani mimba ni mtoto?!!![emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kwani huyo singo mama tuna uhakika gani hajawahi kutoa mimba?!!!
Vipi utasijiskiaje unaoa singo mama afu akifika kwako anapata secondary infertility yaan unabaki kuitwa baba na mtoto wa mme mwenzio [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So kuoa singo mama ni bora kuliko asiye singo mama[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke aliyezaa ana raha yake bhana.... 1: Ana adabu. 2; Anajua maisha.hata mkilala njaa yeye poa tuu. 3: Ana njia nyingi za mafanikio. 4; ni mvumilivu.... Lkn hivi vibint ambavyo havijui moja wala mbili vinakwenda kujifunzia Kwa mwanaume ni shiidaaa sana.. Vinaropoka mpk siri za ndani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli lakini na huyo singo mum alifanya hayo kabla hayamkuta yaliyomkuta,sema tu hao masingo mum wanakuwa wameshajifunza maisha ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kumpa maswali makini kama hayo. Tena masingo mama ni mabingwa wa utoaji mimba. Hao watoto walionao wameishi baada ya mimba zao kugoma kutoka. Ndiyo maana masingo mama wengi wameathirika kisaikolojia. Kwasababu wanalea watoto waliojaribu kuwaua. Angalia hata michango yao humu ni full jazba.
 
Adabu na hekima havijengeki kwa kuzaa. Kwahiyo unashauri wanawake wapigwe mimba na kuzaa ndipo wapate akili za kuolewa?
 
Hainaga makombo hile kitu, tena nyingine ndio tamu kuliko hizo unazocheza nazo ndugu.
 
Ni kweli lakini na huyo singo mum alifanya hayo kabla hayamkuta yaliyomkuta,sema tu hao masingo mum wanakuwa wameshajifunza maisha ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala siyo kujifunza mkuu. Ni kwamba hawana soko tena, hivyo akimpata mwanaume anaona kama ni bahati ya mtende na anaamua kumganda na kutoa adabu fake.

Angekuwa na adabu yasingemshinda kwa mume wake wa kwanza.

Angekuwa na adabu asingebeba ujauzito kqbla ya ndoa.

Angekuwa na adabu ansinge jaribu kuitoa mimba hadi iliposhindikana ndiyo akakubali kuzaa.

Hawa masingo mama wanalea watoto waliojaribu kuwaua
 
Adabu na hekima havijengeki kwa kuzaa. Kwahiyo unashauri wanawake wapigwe mimba na kuzaa ndipo wapate akili za kuolewa?
Kitendo cha kutelekezwa kinamjengea muda mwingi kufikiri juu ya ujinga wake alioufanya mpk kupelekea kukimbiwa . so unapompata ww tyr akili inakuwa imeshamkaa sawa. 92%ya walioolewa na watoto huwa na adabu sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine nibora hao inawezekana alipita njia mbaya wako watoto wameshakua na mahusiano zaidi ya watu 50 lkn umri wao miaka 20
 
Wanahitaji faraja na sio ule moyo wa mapenzi na ndio maana amesema wapo ki socio economic status na kumaliza hisia zao

the great
Aliekwambia hawana moyo wa mapenzi ni nani? Hata wanyama wasio na utashi wana mapenzi,sembuse binadam ambaye moyo wake unasukuma damu.Tuache kasumba ya kuwasakama hawa dada zetu. They are very strong and powerful women
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…