DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Kwani mimba ni mtoto?!!![emoji28] [emoji28] [emoji28]Mh! Nivizuri kutafakali kwa undani zaidi unapotaka kuandika kitu,kuliko kukurupuka tu kuwasema vibaya akina mama hawa.Unaweza oa hawo mabinti ambao hawajazqlishwa ukakuta mgumba utafanyaje?haya unakuta binti kweli lakini katoa mimba nyingi tu je? huyu nae anatofauti gqni na single mother? Kuna wingine walizalishwa kwa bahati mbaya,walioachika,waliotelekezwa wee acha tu mbona kuna watu wameoa hawo masingle mother lakini wanafuraha sana ktk ndoa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo singo mama tuna uhakika gani hajawahi kutoa mimba?!!!
Vipi utasijiskiaje unaoa singo mama afu akifika kwako anapata secondary infertility yaan unabaki kuitwa baba na mtoto wa mme mwenzio [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app