Daah
So mmekaaa mmetulia lijamaa linapiga simu mnakatisha maongez mkeo anasema ngoja niongee na baba flan sijui wewe utakua unaskilizia hayo maongez,unazuga na kucheza na simu au unasepa kiaina?
Ila kwa ulivyojibu nahisi we ni ke sio me,samahani lakin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani akidokeza
 
Daaa,ila kwelii
 
Sasa kama anazo hizo tabia kwa nini aliachika
 
Mpime ngoma then piga mzigo wa hatari mpaka akuamkie mininae mmoja SAA hizi tuna watoto wawili maisha raha mstarehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice comment ever meet before.

Ntamuoa mmoja humu ndani halafu ntakuwa nawapa update!

brain is the beautiful part of the body.
 
Hahaaa
 
Bila ya samahani....hisia zako sizilaumu...akina nyinyi hamnaga busara
PAMBANA NA HALI YAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
Busara ni kuwa na mwanamke ambaye ana mtoto ha ha haaa
Bila shaka wewe kweli ni muhanga wa hili janga sio kwa povu hili
Anyways siwez kuwez kuwa na single mom na tayar nina kabinti kabichi
Suala kwamba alishatoa mimba kadhaa kwan una uhakika gan singo maza hajatoa kadhaa ila hiyo alikua hana jinsi
Af si bora kuwa na demu used tu kuliko used af singo maza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uoni wangu hauwezi kuwa sawa na wako....hili litambue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ukioa mwanamke aliyetoa mimba 10 huyo si ni mama wa Marehemu kadhaa? Bora aliyezaa akajifunza kujikinga kuliko anayewaza ikiiingia tuu natoa saa zingine umeshatoka nao wengi tuu mama wa Marehemu hahahahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…