Hata wewe umeona hilo
Wamepanic sana na hawawez kujibu maswali kama haya,bad enough wamehama kabisa kwenye mada,ila wana tuambia eti singo mama ndo mke wa kuoa eti wametulia,hawajawahi kutoa mimba na watashika mimba ki urahisi ukiwaoa in contrary to mabinti wasio singo mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adabu na hekima havijengeki kwa kuzaa. Kwahiyo unashauri wanawake wapigwe mimba na kuzaa ndipo wapate akili za kuolewa?
Haaa haaa [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ngoja nione jibu la hilo swali yani mimba ikizaa tu basi anakua decent?!!!!
Yaan ingekua hivo sijui kwa nin wangeachika kwenye ndoa ambayo wameshazaa [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Au inabid azae kwanza na kuachika ndo awe mke bora[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ndo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante jimmy maana inafika hatua unajisikia vibaya hao ambao hawajazaa wanatoa mimba tuwaiteje mama Wa marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpende ata sisi single mother tunaitaji mapenz ya dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata jibu kumbe ndio maana wanaume wanakuwa hawana Upendo Wa dhati unampenda, unamheshimu unafanya kila kitu kumbe kisa single mother ndio maana mmmmh basi nimepata jibu kumbe Mwanangu ndio sababu mapenz yaniumize acha nimpende Mwanangu ndio atanizika nishakuwa single mother soko hatuna ila wewe ulietuma post Mungu akubariki mpaka kizaz chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bigup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe maana single mothers tunasakamwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha mkuu uzuri usikuzuzue aisee...hao majanga yao wanayajua mwenyewe! Hujiulizi chuma kama hicho mwanaume mwenzako kwanini alikipiga chini licha ya kumzalia mtoto?

Anyway nshadate na single mother(s), nawajua vizuri...wengi huwa wanajifanya wema sana nwanzoni na kujifanya hawana hatia ila haipiti muda wanafunua makucha!
 
Asante jimmy maana inafika hatua unajisikia vibaya hao ambao hawajazaa wanatoa mimba tuwaiteje mama Wa marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye mitazamo hasi kuhusu single mothers wana matatizo ya akili wanasahau kuwa wengi wamelelewa na single mothers ila wao wanachoangalia ni kwa wakati huu ambapo wanahitaji wapenzi. Niaminivyo mm ni kuwa Single mothers ni wanawake wanaojitambua tofauti na hawa wanaochipukia na kujiona bado wana soko na wazuri...
 
Bigup mwanamke ulienae akushikilie kapata mwanaume jembe anajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…