Single mother akaolewe na huyo aliyemzalisha! Kama ni mke wa pili ni chaguo alilochagua yeye!
 
Wewe ni single mother?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengne mnajitafutia wenyew mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa una matusi sana...dah unajua hili jambo lina ukweli kiasi ila kuna watu umewaumiza kiasi
1. Unaweza kuwa na mtu mkazaa lakini baadae unakuja kugundua mkiendelea kuwa pamoja mtagawana majengo ya serikali...mnaachana tayar mna mtoto anakuja kumpata mwenzake anayewezana nae kitabia bila kujali kwamba amemkuta na mtoto na kwa upande wa mwanaume ni hivyo hivyo yaani mwanamke aliye used kwako kwangu mimi ni mpya....Sasa hawa ndio wa kupewa kipaumbele katika kuoa....SIKU UKIKUA NIULIZE KWANINI NASEMA HIVI
 
Nafikiria pale mwanamke anapoolewa halafu baada ya wiki mume akapata ajali akafariki, huyu binti si atakuwa single mama? Je hatofaa kuolewa tena? Kwa nini mnapenda kukejeli sana watu?
 
Kwako ni afadhari uyo ambae hajazaa ila ametoa mimba 20 kuliko alopata mimba moja akazaa?
Kweli dunia zunguka ukifika paradiso nishushe [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Wanahitaji faraja na sio ule moyo wa mapenzi na ndio maana amesema wapo ki socio economic status na kumaliza hisia zao

the great
Wewe inaonyesha hujui definition ya neno mapenzi af ni mbinafsi sana.
Huyo asiyezaa hahitaji faraja
Bullshit
 
Hivi lini nyie watu wa kizazi hiki.mtaacha kuwatusi mama,dada,wake na watt wenu?

Haya ww usafi sana mtoa mada. Je yupi afadhali kati ya mwanamke aliyewah kuzaa na akaolewa akatulia na mumewe na mwanaume ambaye hujiona msafi lkn Kila siku anawavulia Adi vichaa chupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo aliyechoropoa ni siri yake, wewe uliyezaa umejiwekea lebo ya mtoto..... kwamba umemegwa mara kibao mpk ukapata mtoto
Af tunashangaa tanzania kuibiwa makinikia wakati kuna vilazaa wa steji hii. Eti kinachomridhisha ni ile siri kisa mtoto anaonekana aliyeuliwa haonekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…