Wakat tunaagana,akawa ananishkuru kua nmempa burudan sana leo,pia kipind niko nae frm mchana,alikua anapokea sana phone calls,akiongea ni mambo ya shule ya mwanae,amerudishwa home,alikua anapigiwa sim na bro wake kua atamrushia chochote kitu ajazie ada,..sasa nkatafakar ,nkasema mmh huu mzigo nsije bebeshwa mie ,..yan tokea juz naskilizia hko kizinga,ila bado sjapigwa,.naskilizia though..ingawa tunawasiliana kama kawaida tokea juz na hajadokeza hzo mambo za vizinga,sasa sjui ni uoga wangu tuu.maana