Ni hakuna kweli wa kupambana naye Kwa mambo ya uwongo kama vile ununuzi wa ndege, eti hakuna Mbunge anayejua zilinunuliwa shingapi!

Muongo Yule mtu,
Jibu na Mayanga
Hekari 25000
Ben na wenzake
CIA
Risas za area D
CIG kutokagua madege
N.K
 
Wadau tafadhal mwenye clip ya jaji warioba aliyokuwa anamuongelea Lissu atuwekee hapa .Juu ya kama akitokea lissu kuwa kiongozi
 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
Hahahah roho inauma eeeh? Basi hapo hata mmeo utamnyima chiu kisa Lissu!!
 
Malumumba mwatia huruma kama lijualikali, badala ya kubwabwaja tu mngekusanya vielelezo vyenu na hayo mngepeleka polisi na takukuru ili hatua za kisheria zichukuliwe. Sauti ina mkauka bure.
Usiwe na haraka, unalotaka lifanyike tayari linafanyika. Sababu kwa nini hatua hazijachukuliwa hadi sasa ni kwa jinsi ya kufanya kazi kwa vyombo vya Dola husika. Nitakukumbusha ila usibadili ID
 
Kama unaona Tundu Lisu ana hizo sifa ulizozitaja basi hata wewe si ajabu ni failure hapa Duniani, Tundu Lisu kwanza anaongea kama mtoto wa miaka 12, kila anachokisema ni kama anauliza swali, ...
mkuu mtoa mada yuko sahii ,nami Kuna kitu nilichangia hum, nikisema wenda lissu ana dam ya karibu na mwl nyerere ,Kwanza anaongea kiswahili kizuri na kinachoeleweka Sana na chenye point za kutosha Sana ,na kweli watu aina lissu ni wachache afrika na dunia kwa ujumla,mfano ukienda Kila nchi utamkuta mmoja tu ,azia Uganda,Rwanda,afrika kusin warema n.k sio wengi mkuu
 
Hivi ndugu unafuatia kampeni kweli wewe miii sioni wa kumlingalisha na magufuri yaani hata rais wa AMerica na uingereza hawamfii magufuri
Kile kichwa balaa anaweza kuiongoza dunia( umoja wa mataifa ) bila tatizo

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kizungu kipi anachoongea..
Your browser is not able to display this video.
 
Mahaba ya dhaaati yamekushukiaaaa, si unao vitimbiiiii, ongeza na fitinaaaaa...
 

Nakubaliana na wewe 100%. Ni kipaji wa Aina yake.
 


Una low IQ kama unamuona hivyo, siyo kosa lako, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…