Kubaniwa media upinzani sio kuua upinzani upinzani upo moyoni ndugu.
Upinzani hauna hata Media zake!? Sasa huo si Upinzani wa kitoto wanafanya,alafu wanataka tuwape Nchi!!
 
Kwa kuibiwa Kura Lissu mtamsuprise mbona
Yaani mmekaa standby na kisingizio cha kushindwa,eti mtaibiwa Kura, Sasa Kama mnajua mtaibiwa Kura kwa nini mnashiriki Uchaguzi!?
 
Jiwe kaisha ajiandae kukabidhi madaraka kwa amani hatutaki fujo
 
Surprise Kapangala.....[emoji3][emoji3]
Mnanikumbusha BCBG

Magu ni yule yule
Na CCM ni ile ile...

Viva Magu 2020 to 2030
 
Mimi sina ndugu wenye vyeti feki lakini Mimi, familia, na ndugu zangu tutampigia Lissu
Mimi siwezi mpigia Kura mtu anaetaka kuja kuhalalisha Ushoga Tz maana na Mimi nitakua naunga mkono vitendo vya kishoga, Kura yangu ni kwa Jembe kutoka Chato!!
 
Watafurahi😂😂😂 waache wajipe moyo
 
Man U wanabebwa sana. Var siyo mkombozi tena
 
Mungu ni mwema kila wakati! Angalia Mungu alivyo mwema! Mh. Lisu kupigwa Risasi 16/38, Mungu akasema hapana, Muhimbili msimpeleke! Wakangangana, lakini MUNGU NI MWEMA, akamtokea Mbowe kuwa kataa kata kata kuwa Muhimbili haendi mtu! MUNGU NI MWEMA, akajitokeza mtu(RIP), akasema najitolea gharama za ndege kwenda Nairobi , akapelekwa Nairobi! LEO NI MZIMA

MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI
 
..Kuna watu wanne muhimu sana ambao Tundu Lissu aliwataja kuhusu tukio lake.

1. Khadija Juma Akukweti.

2.Amina Abrahman Kanyama.

3.Adam Mohamed Bakari.

5. Salim Turky [sasa ni marehemu].

..Hao watatu wa kwanza ndio waliomtoa TL toka eneo / area D aliposhambuliwa mpaka Dodoma Hospitali.

..Salim Turky ndiye aliyetoa udhamini ili ipatikane ndege ya kumsafirisha TL toka Dodoma kwenda Nairobi.

..Pia wapo madaktari na wauguzi wa Dodoma Hospitali ambao walim-stabilize ili aweze kutolewa Dodoma kwenda Nairobi.
 
Mungu ni mwema kila wakati. Unaona aliwatuma watu wenye moyo wa huruma, wakampatia huduma ya kwanza, short of which angelikufa, leo yuko hai! MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI
 
Ashukuriwe Mungu kwa mipango yake kwa wanadamu. Kiukweli Mungu ana kazi anataka aifanye na huyu ndugu.


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Ni wazi kuwa TL hana kashfa wala tuhuma yoyote, maana hadi sasa hatujasikia zikisemwa semwa na wapiga debe wa CCM wala wagombea wao.

Baada ya kuzikosa wamebaki na maneno ya porojo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…