Wakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.
 
Mungu awabariki sana popote walipo. Angalia Tundu ni mkristo list ya waliotoa msaada wote waislam.

Hii inanikumbusha hadithi ya Msamaria na myahudi aliyepigwa na wanya'nganyi.
 

Mwaka huu jiwe kazi mbona anayo?
 
Tanzania umepata uhuru wa bendera 1961, lakini cha kushangaza hadi kufikia 2020 bado ccm wanatoa ahadi ya kuchimba visima
 
Reactions: BAK
Halafu ni WA dini moja, Mimi ni mkristo lakini hakuna awamu Bora kama zilizoongozwa na Ma Rais waislamu ,wenzetu Wana hofu ya MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…