Uko obsessed na Lissu,mpaka utavaa chupi kichwani!😁😁😁
 
Mheshimiwa baada ya kumaliza kuzungukia kanda zote tunaona sasa ni siku ya pili hatujasikia ratiba nyingine na siku hazigandi na Tanzania ni kubwa sana . Naomba kujua ukimya wa siku hizi mbili tatu kulikoni?.
 
Anapumzika mkuu mtamuua bure mgombea wenu...

Sawasawa. Ila mkuu lazima awanadi wabunge na awaambie umuhimu wa hawa wabunge na wale wa kupiga makofi tofauti yake.
Hii season ya pili iwe very powerful kuliko ile ya kwanza .
 
Ninapo onaga mapicha mitandaoni nikawa nahisi labda Kuna kaujanja flani kanafanyika kwenye picha au kuwakusanya watu kwa mabas na maloli.

Ila ninacho kiona hapa uwanja wa miembe Saba chalinze Kuna hatari barabara ikafungwa kwa mda maana sio kujaa huko hatari.
 
Kila kukicha kwa umaarufu wa Lissu, nalazimika kufuatilia taarifa zake. Lissu amekuwa hot cake sasa hivi hivyo bila kusikia au kupata habari zake siwezi kutuliza akili. Watu wengi wanasema yuko perfect kwa 90%. Akianza kufafanua jambo unavutiwa kumsikiliza. Ni nyota inayosafiri leo na kesho.

Kwa sifa hizi anapewa nafasi kubwa sana kushinda urais. Ni mtu atakayefuata sheria na kuwakumbatia wstanzania wote kuwa wamoja. Ni tofauti sana na Magufuli na wagombea wengine. Yeye anapendwa kwa ukweli wake ndiyo maana vijembe na visasi vingi anaelekezewa. Leo nasikia wamemnyima fursa ya kuruka kwa helkopta ili kuweza kufikia maeneo yake ya kampeni katika mkoa wa Pwani.

Bila ya Lissu hatutafika kwenye nchi ya upendo, mshikamano na umoja. Nchi ishagawanywa ambapo wenye nayo sasa hivi wanatumia vitisho na kutumia ukabila kuomba ridhaa za kwao ili waweze tena kurudi madarakani. Nchi inachungulia kusikojulikana ambapo chuki na upendeleo ni wazi wazi zimeanza kuota mizizi. Tuombe Mungu Lissu asinde urais, Mungu ibariki Tanzania
 
Wabagamoyo walimpuuza naye kaamua akae hukohuko bila kufika Bagamoyo

Lissu buana!!
 
Wakuu natanguliza salamu , na baada ya salamu sipendi kuwapotezea muda , baada ya wachawi kuingilia usafiri wa Chopa sisi hatukuwa na muda wa kupoteza , ratiba ya kampeni imeendelea kusonga mbele , leo ni kata funua kwenye kata za Morogoro na korogwe , pia vumbi litatimka huko same .



Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari zaidi .

Tunaanza Upyaaaaaaaa !!!
 
Zile picha za mafuriko ya EL amekuzuia kuzibandika? Maana jana pale Bagamoyo ilikuwa aibu. Jukwaa kama la mgombea udiwani!
 
Kwani wewe umelipa tsh ngapi weka namba ya muamala nikurudishie visent yakooo
Acha njaa usitutoe kwenye relief kama una pambana mkuu
 
Huko Same wanamjua huyo Mwalimu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…