Sisi warangi, wamyiramba na wanyaturu tunaenda na Rais Magufuli mbeba maono ya Watanzania
Unaongea usichokijua ccm imeiharibu singida vibaya saivi ni masikini

Mimi naiongelea singida ninayoijua sasa wewe hiyo singida yako yenye warangi hata haipo Tanzania
Na we hujawahifika hiyo singida
 
Huko CCM kuna hata mtu mmoja anaweza kumhoji kitu mwenyekiti wenu?
 
Naam, kweli kabisa. Kama tu vile Bernard Membe alivyokuwa huru kuhoji utamaduni wa ccm wa kumuachia aliye rais amalizie ngwe. Hiyo ilikuwa ni Demokrasia ya hali ya juu kabisa, na mfano wa kuigwa duniani kote
 
huyo hata laki tatu hapati
Kwa response waliyomeonyesha watu wa Dar hata hizo laki tatu ni shida

Pia so far hana mkutano aliofanya uliofikisha hata watu elfu mbili

Mwanza alifikisha watu mia tisa ambao kwake ndio ulikuwa mkutano mkubwa sana
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Very poor analysis! Elements of analysis ni zipi? Hiyo ya kwako ungesema kuwa ni kutokana na ramli chonganishi niliyoipiga.

Analysis wewe huna uwezo wa kufanya, nadhani uwezo wako na maarifa yako ni kidogo sana. Huelewi hata analysis ambavyo huwa inafanywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Yawezekana hata hizo ni nyingi.
 
13 September 2020
Ifakara, Morogoro
Tanzania

Somo la Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu limezidi kueleweka kuelekea kuchagua Rais 2020
waTanzania bila kujali kama wana vyama vyao vya ACT -WAZALENDO na CHADEMA wampa Tundu Lissu mapokezi ya kihistoria katika kampeni za kuomba urais na kuahidi kura nyingi kwa mgombea Urais wa CHADEMA na wabunge wa upinzani.
 
Huna habari CCM , Jiwe , mama risasi tatu , Ruangwa na kina Kawe Alumni , Johnthebabtist , wanaamini kwamba mauno ya Diamond na Zuchu yatamaliza matatizo yote ya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…